RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.

mtoa maada ww ni bonge la mzigo.
Kwanza utambue kuwa Huyo RPC hajapanda cheo bali kabadilishwa kitengo.
> Kwann unalaumu? Je unaweza kutoa tathmin ya utendaji wa huyo RPC ili tuone kama ana maovu na ututhibitishie hata sisi kukubaliana na ww?

>unatia huruma sana kwasababu uwezo wako wa kufikir ndio umeisha kabisa. Huna unachoweza kufikiria na kufanya maamuzi badala yake unaongozwa na fikra za wanasiasa. Wanasiasa ndio wanacontrol ubongo wako. Hii hatar sana
 
DCI ni Diwani Athumani
Hata mimi ninavyojua kuna Chombo kunaitwa Military Inteligence ambacho Mkuu wake alikuwa Liutenant General xxxxx wa TPDF
May be huenda now Mkuu wake akatokea Polisi.

havina uhusiano na Hiki cha polisi kile ni Cha Tpdf na Hiki ni cha polisi.
 
Kwani tofauti ya SACP na ACP ni nini mbona wewe ndiye hujui kitu ndugu yangu? Wengine tulisotea huko muda mrefu kama hujui unyamaze.Hapa tofauti ndogo kati ya SACP na ACP ni seniority! CP ni cheo baada ya SACP.

Mkuu jeshi linautaratibu wake sio kama wewe unavyotaka kuaminisha watu humu. ACP, SACP NA CP huu ni utaratibu wa jeshi la polisi na kila cheo kinajitegemea wala hakuna hiki ni sawa na hiki. Pia kubali kua Mkumbo kapangiwa majukumu mengine ya kazi na sio kwa sababu ya mambo ya siasa.
 
Magufuli hana watu wapya kutoka sayari nyingine ni walewale, ccm ni ileile.
Ningependekeza kwenye "ccm ni ile ile" ungeweka "Tanzania ni ile ile" kwa maana hata yangekuwa ukawa ndo wako madarakani bado wangetumia watendaji wale wale
 
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.
WEEE JAMAA NI MSEINGE KABISA, YAANI BADALA YA KUTAFUTA SIFA ZA MSINGI ZA HUYO MTU MAFAILI YAKO NA AKILI YAKO NDO YAMEKUPELEKA KWENYE 'ikumbukwe', kwa akili hizi MTAENDELEA kuwa wapinzani kwa miaka mingi sana!! Mna negative mentality, mnaona 'mabaya' na msiyoyapenda tu!!
Nenda kachunguze au kaulize sababu za msingi za kuzuia hiyo shughuli, sio kukurupuka tu.
Alafu unatakiwa uiweke akilini kuwa Mwanza walimpiga Wenje chini!
 
Mkuu jeshi linautaratibu wake sio kama wewe unavyotaka kuaminisha watu humu. ACP, SACP NA CP huu ni utaratibu wa jeshi la polisi na kila cheo kinajitegemea wala hakuna hiki ni sawa na hiki. Pia kubali kua Mkumbo kapangiwa majukumu mengine ya kazi na sio kwa sababu ya mambo ya siasa.

Kuhusu siasa ntakuelewa, maana ni mapema mno kusema kesi ya mawazo ndio imempandisha cheo ila kwa cheo ni kweli kapandishwa kutoka SACP Kwenda CP.
 
Kwani tofauti ya SACP na ACP ni nini mbona wewe ndiye hujui kitu ndugu yangu? Wengine tulisotea huko muda mrefu kama hujui unyamaze.Hapa tofauti ndogo kati ya SACP na ACP ni seniority! CP ni cheo baada ya SACP.
Wee ni mjinga, unabisha alafu bado kwenye hii hii comment yako unasema ni vitu tofauti na pia 'cheo' kimoja ni promotion ya kingine! Kubali tu kiwa wewe ni mjinga!
 
Magufuli hana watu wapya kutoka sayari nyingine ni walewale, ccm ni ileile.

Je endapo shetani angeshinda vita na Ukawa wangechukua nchi, je hao ukawa wangechagua RAIA WA KAWAIDA au nao pia wangechagua kutoka watu wale wale waliopo ktk mfumo wa jeshi la polisi?
 
Sio unafiki .
Hata anachofanya Magufuli ni chuki kwa mtizamo wako dhaifu.
Mtumishi wa umma ni lazima awe mwadilifu sana na mwenye kutoa maamuzi sahihi kulingana na sheria na sio matakwa yake au shinikizo.
Haya majipu yanayotumbuliwa yalifanya kwa mashinikizo na kukiuka sheria.

Mahakama kama chombo chenye mamlaka ya mwisho cha kutoa haki imesema wazi Mkumbo alikiuka sheria. Hata mwezi haujaisha mtu huyo huyo anayevunja sheria ama kwa makusudi au kutokujua au kwa shinikizo anapandishwa cheo. Ni aibu kubwa. Hafanyi kazi ya ukoo wake au nyumbani kwake anafanya kazi ya umma. Umma sio CCM wala kanda ya ziwa au Mwanza pekee bali ni watanzania wote.
Alionyesha kukiuka sheria kwenye eneo dogo kwa tamaa ya cheo. Ni hatari sana. Kama mtaanza kushabikia haya mapungufu mwishowe Magufuli atashindwa kama watangulizi wake halafu mnaanza kuleta unafiki ooh waliomwangusha ni watendaji. Lakini mlipoambiwa mapema mlisema kuwa ni wivu na chuki. Hakuna chuki kama mtu anasimamia haki. Hata enzi za JK mlikua mnaambiwa haya ambayo mwanzo mlisema ni sawa na leo CCM hao hao na familia nufaika mnajifanya kumuunga mkono Magufuli.
Wapo Viongozi wengi wa Polisi wasio na tuhuma zilizothibitshwa na mahakama tofauti na Mkumbo.
Awekwe pembeni ajifunze kuwaheshimu watanzania. Sio lazima jeshi la polisi makao makuu lisimamiwe na wale waliofanya vibaya kwenye nafasi za Mikoa.
Nchi ikichafuka hata yeye hataishi kwa amani. Wapo wengi sana waadilifu na wanaofuata sheria.
Kazi ya polisi isiwe ni siasa tu watu watakosa imani na vyombo vya dola.
Mbona askari wadogo wakitenda kinyume na sheria wanafukuzwa na wote tunapongeza?

Ili Mh. Rais Magufuli afanikiwe ni lazima ajenge mfumo wa kila mtu kutii na kufuata sheria mahali alipo na majukumu aliyo nayo.
Mtu asivunje sheria kwa manufaa yake au kwa kumlinda mtu au kikundi cha watu.
Usivunje sheria ya mtu mmoja kwa sababu ya kumlinda mwingine ,kumbuka kuwa sisi wote ni watanzania bila kujali chama,hivyo kuvunja haki ya mwanachama kimoja kwa lengo la kufurahisha kingine au kupanda cheo ni makosa makubwa . Hapa ndipo majipu yanapoanzia.
Hata kama tuna nia ya kurudi kwenye chama kimoja lakini sheria ni lazima zifuatwa na haki itolewe kwa wote . Anayevunja sheria apishe wengine wamfundishe namna ya kuongoza umma na kazi zake.

North pole mna shida sana! Alivunja sheria? Ipi? Ya kugombea maiti? Halafu hakimu aliyeendesha kesi anaitwa nani vileee. Mnafikiri wanaotafsiri sheria wanatoka mbinguni. No ni game tu imechezwa....sasa msikariri hukumu zenu za madai mkafikiri zinavuka mipaka kila sekta..... Mwacheni afanye KAZI..... SAWA SAWA? Ha ha haa
 
Itakuwa ile intelijensia ya kuzuia kuaga mwili wa Mawazo ndio imempa cheo cha kuwa MKUU WA INTELIJENSIA

Siyo hiyo tu kumbuka vizuri kipindi cha uchaguzi huyu bw. Mkumbo alifanya Mwz kuwa chini ya utawala wa kijeshi (curfew) mpaka jimbo likaporwa
 
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.

Ccm ni ileilee
 
Watu wengne mmejawa na chuki na unafki. Kwan hakuna mazuri aliyofanya huyo kamanda mnaliona la mawazo tu?

Acheni unafki na chuki binafsi dhidi ya maisha ya wenzenu

Mwenyewe wewe umejawa na unafika na chuki na roho mbaya kama nyoka
 
Unasema tetesi halafu unaanza porojo sasa tukuelewe vipi?
UKAWA bado mnaweweseka tu?
Uchaguzi umekwisha sasa ni kazi tu

Kwa akili yako ndogo kila mwananchi anaye kemea ujinga wa watumishi wa umma ni ukawa?
 
Back
Top Bottom