pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,486
- 6,172
Mkuu,ni afadhali ungeandika kiswahili tu!
Ushauri mzuri sana
Mkuu,ni afadhali ungeandika kiswahili tu!
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.
Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.
Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.
Mpaka mwili wa marehemu unawapa watu ulaji.
thank you anyway nililewa mkuu hata hivyo najifunzaMkuu,ni afadhali ungeandika kiswahili tu!