RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

Labda utakua unasema bila kua na kumbukumbu muhimu za kisiasa bwn Jerry. hebu jikumbushe kidogo kipindi cha yule eliyekua mkuu wa mkoa wa Arusha somebody Ntobi ilikuaje, ndo utajuawakati mwingine KUPANDISHWA CHEO NI NGUVU YA KUDHIBITI MAMBO FLAINI HIVI.

Ni ukweli ulio wazi kabisa
 
Hii ndio Tanzania vijana hawana uwezo wa kufikir tena, fikra zao znaendesha na wanasiasa. Mtu hawez kukaa na kulifikir jambo na kupata uamuzi badala yake anasubir mpaka mwanasiasa alalamike au aongee ndio na wao wanaanza kubwabwaja.

Inatia huruma sana.

umeandika nini sasa ?
 
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.

Ukiona huyu kapanda Ujue mwingine yuko matatani
 
North pole mna shida sana! Alivunja sheria? Ipi? Ya kugombea maiti? Halafu hakimu aliyeendesha kesi anaitwa nani vileee. Mnafikiri wanaotafsiri sheria wanatoka mbinguni. No ni game tu imechezwa....sasa msikariri hukumu zenu za madai mkafikiri zinavuka mipaka kila sekta..... Mwacheni afanye KAZI..... SAWA SAWA? Ha ha haa

Kumbe bado kuna watu wanawaza ukabila kwenye haki na utendaji wa kazi.
Asili ya haki ni Mwenyezi Mungu na wote wanaosimamia haki kamwe hawayumbishwi hata kama ni ndugu wa damu.
Kwani Mawazo ni kabila gani?Mtu mwovu ni kama kipofu. Yani hata ukweli unaletewa ushabiki.

Hii nchi ina siasa za kizamani sana bado .
Hukumu ya mahakama wewe unaleta ukabila kweli. Majaji wamekaa siku tatu kupitia sheria na vifungu mbalimbali wewe unaleta ukabila.
Kama ni kupindisha wale majaji ndio wangepindisha kuifurahisha dola lakini wakasimamia ukweli
Na siku zote haki inapingwa na shetani na mawakala waje pekee.
Sisi wengine hatuchangamani kamwe na dhulmati. Historia hijawahi kumhukumu mtu anayesumamia hake kwa mnyonge.
Nyerere alisema kwamba Polisi ni chombo cha mabavu kisiposimamia haki za wanyonge vizuri basi kitageuka kuwa chombo cha kuwaonea na kuwagandamiza wanyonge. Na wanyonge watakosa pa kukimbilia.

Mashabiki wengi wa vyama huvipenda vyama kiushabiki na mara nyingine wanakua tayari kushangilia umwagaji wa damu kwa binadamu wenzao walioumbwa na Mungu. Wanasahau kuwa utu wa mwanadamu ndio jambo bora na la msingi kuliko vyama vilivyoundwa kwa maslahi ya vikundi vya watu na mara nyingine waanzilishi wake wanaviacha kwa kugundua makosa kisera.
Kuna watu mmeamua kujitoa akili na kwa sababu ya maslahi na kuona kuwa vyama ni kama dini na vitawafikisha peponi. Mnasahau kutenda yaliyomema.
Kumbuka siku Utakapokufa hutaulizwa habari za sera na cheo chako bali utaulizwa matendo yako ya haki yalikuaje. Kama ulikua kiongozi ulisimamia vipi haki kwa wanaoonewa.
 
End justfy the meaning.wakati utatueleza kama ni majungu au majipu ya kukomoana
 
Aseme na wengine waliohamishwa vitengo mbona kakomalia Mkumbo tuu?hapa kazituu

Hakuna mtu mwenye shida ya kumkomalia Mkumbo kama mkumbo.
Kinachomfanya ajadiliwe ni kazi za umma sio za huko shambani kwake.
Umma unataka mtu anayesimamia sheria bila kujali itikadi za vyama kama anavyofanya Rais wetu.
Pia ukumbuke tu kuwa sio kelele au majungu kwa Mkumbo bali ni mahakama iliyothibitisha pasipo na shaka yoyote kuwa alikiuka sheri. Hapo ni suala la hukumu ya mahakama. Alipaswa akakae huko wizarani bila ofisi maalum ili ajifunze zaidi. Na bila shaka angeishi kwa amani zaidi.
Viongozi wengi wa kiafrika hawana amani mioyoni mwao kutokana na matendo yao.

Na sidhani kama kuna kamanda mwingine ambaye amethibitishwa na mahakama kuwa anakiuka sheria za kazi zake na katiba ya nchi.
Kwa hiyo hatuwezi kutoa maoni kwa mtu asiyehusika.
 
Je endapo shetani angeshinda vita na Ukawa wangechukua nchi, je hao ukawa wangechagua RAIA WA KAWAIDA au nao pia wangechagua kutoka watu wale wale waliopo ktk mfumo wa jeshi la polisi?

Najua umenielewa lakini umenitafsiri vibaya.
 
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.

Mkuu, hivi kuna upinzani gani unaodhibitiwa kwa sasa? Vijana wanalia kwamba walipoteza kura zao, wewe unasema upinzani ! Binafsi nasikitika kwa upinzani kuangamia. Hioi si jambo la kiafya katika siasa za nchi yetu
 
Chenge njoo chadema tuongeze nguvu ww una Ushawishi..
 
Hata mkurugenzi aliyekuwa amekaimu jiji la mwana kwa kuhujumu wenje mh.Tito kawa mkurgnz kamili huko Mbarari.

Sishangaii
 
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.

Nakumbuka Lecturer wangu mmoja alituambia huwezi chora graphkwa kutumia point moja. Wewe ulichokariri ni hiyo point moja. Na ufahamu inteligensia ina ethnics zake endapo ingeruhusiwa siku ileile ingetokea vurugu lakini siku zilipita jazba zilipungua na hata hukumuyenyewe ilitoa masharti na CHADEMA waliyafuata na kukawa na utulivu na huendahii ndio record yake ya kazi nyingine, sasa kwa nini asipandishwe Cheo?

Safi sana mkumbo anapiga kazi sana hongera mkumbo.
 
Hakuna mtu mwenye shida ya kumkomalia Mkumbo kama mkumbo.
Kinachomfanya ajadiliwe ni kazi za umma sio za huko shambani kwake.
Umma unataka mtu anayesimamia sheria bila kujali itikadi za vyama kama anavyofanya Rais wetu.
Pia ukumbuke tu kuwa sio kelele au majungu kwa Mkumbo bali ni mahakama iliyothibitisha pasipo na shaka yoyote kuwa alikiuka sheri. Hapo ni suala la hukumu ya mahakama. Alipaswa akakae huko wizarani bila ofisi maalum ili ajifunze zaidi. Na bila shaka angeishi kwa amani zaidi.
Viongozi wengi wa kiafrika hawana amani mioyoni mwao kutokana na matendo yao.

Na sidhani kama kuna kamanda mwingine ambaye amethibitishwa na mahakama kuwa anakiuka sheria za kazi zake na katiba ya nchi.
Kwa hiyo hatuwezi kutoa maoni kwa mtu asiyehusika.

Tatizo lenu wanyarwanda akili zenu fupi sana ukabila na ubaguzi viliwaacha vibaya sana,kwasasa hapa kazi tu.
 
Mazuri alofanya ni mengi,mbona hatujawaona mkimsifia,mnakuja na mambo ya tetesi hapa,tunataka mambo halisiausilaumu kwa unayoyasikia bali uliyoyahakikisha,na usilaumu shauri.
 
Back
Top Bottom