RPC wa Kilimanjaro - Ng'hoboko hatunaye tena

Marehemu nakumbuka alikuwa mmoja ya watu waliokuwa wanajitahidi kuchakachua matokeo ya uchaguzi kilimanjaro.
Mungu amrehemu na amsamehe makosa yake aliyotenda huku duniani.

RIP kamanda.... nasikitika kamanda ameingizwa kwenye siasa na kutia doa maisha

kweli dunia mapito na watu wanaweza kukukumbuka kwa jambo lolote lile
 
Once a person dies, it is up to God to judge him or her. We may not be the judge, and we do not know whether, in the eyes of God, we are better.

It is our duty to avoid condemning the former RPC and to sympathise with his family. If not, then God Himself will ask us to account for our hurtful utterances when our own time comes. And that might not be as far off as you might think.

I wish to correct those who seem to think that most of the JF community are Chadema members. They are not. They are, like most Tanzanians, not members of any political party. But their hearts bleed for their motherland, and they will support any group that seems to be working for her liberation. It so happens that CHADEMA provides a focal point for those who want to see our nation freed from the shackles of CCM.

My the One who caused RPC Ngh’oboko to be have Mercy on Him and grant him eternal rest. Amen

 
kamanda wa moshi kafa na watu wamelia.sasa wajiulize familia zinaumia vipi wanapoua ndugu zao
 
Ni hbr ya kuaminika na niliyona kwa macho yangu RPC wa mkoa wa Moshi akiteremshwa hapa CASUALTY akiwa ameletwa na Landcruiser ya Police na habari nilizopata dk chache baada ya kuteremshwa ni kwmb ameshaaga dunia. WanaJF mtapata hbr zaidi.

hamna mkoa wa moshi hapa duniani
 
Watokosaje kufa kwa kunenepeana hivi walivyo. Mtazame Said Mwema, alikuja toka Kenya akiwa njiti, sasa hata sauti haitoki.

Umenena vyema. Huyo uliyemtaja alikuja hapa akitokea Nairobi akiwa FIT kama chuma cha Reli lakini sasa naona ni mafuta tu na shingo mbili mbili!!
 
Wana JF epukeni sana lugha za kejeli katika vifo, huwezi jua unaweza kukuta mwanae au mmoja wa wana familia ni mwana JF! Utasikiaje mtu mwana JF mwenzako amefika na baba yake halafu wewe ulicomment heri fisadi kafa n.k! Ni vizuri kujifunza kuwa mtu akifa anakwenda kuanza maisha mapya ambayo wote ni wageni hivyo ni kumtakia marehemu safari njema na kuwapa pole wafiwa.
Hivi unafikiri chuki ya kuwachukia polisi imetoka wapi kama siyo kwenye siasa? Ni bora tukaweka siasa pembeni na kutangaliza utu hata kama marehemu ulikuwa humpendi kwa sababu yoyote iwayo ile jamani.
Ni sawa, lakini kuna watu huzuni haitaisha kwa matendo yake ati alikuwa anatimiza wajibu. Fikiria, kweli wanafamilia ya watu aliowaua Zombe watamwombea vizuri akifa. Acha unafiki, kuwa mkweli. Wanaosema hivyo wana sababu zao kubwa tu.
 

Attachments

  • Lucas Ng`hoboko(2).jpg
    Lucas Ng`hoboko(2).jpg
    12.6 KB · Views: 34
  • Rpc Ng'oboko akionesha siraha.JPG
    Rpc Ng'oboko akionesha siraha.JPG
    117.3 KB · Views: 41
Back
Top Bottom