Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Rip.
Bora angekufa kamanda..................
Bora angekufa kamanda..................
Oh, what might be the cause of the death?
Mimi nitafurahi kifo cha Andengenye
I wish kama angekuwa ni Andengenye...
R.I.P RPC Ngoboko
I wish kama angekuwa ni Andengenye...
R.I.P RPC Ngoboko
Wana JF epukeni sana lugha za kejeli katika vifo, huwezi jua unaweza kukuta mwanae au mmoja wa wana familia ni mwana JF! Utasikiaje mtu mwana JF mwenzako amefika na baba yake halafu wewe ulicomment heri fisadi kafa n.k! Ni vizuri kujifunza kuwa mtu akifa anakwenda kuanza maisha mapya ambayo wote ni wageni hivyo ni kumtakia marehemu safari njema na kuwapa pole wafiwa.
Hivi unafikiri chuki ya kuwachukia polisi imetoka wapi kama siyo kwenye siasa? Ni bora tukaweka siasa pembeni na kutangaliza utu hata kama marehemu ulikuwa humpendi kwa sababu yoyote iwayo ile jamani.
Ni hbr ya kuaminika na niliyona kwa macho yangu RPC wa mkoa wa Moshi akiteremshwa hapa CASUALTY akiwa ameletwa na Landcruiser ya Police na habari nilizopata dk chache baada ya kuteremshwa ni kwmb ameshaaga dunia. WanaJF mtapata hbr zaidi.