RPC wa Kilimanjaro - Ng'hoboko hatunaye tena

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Ni hbr ya kuaminika na niliyona kwa macho yangu RPC wa mkoa wa Kilimanjaro akiteremshwa hapa CASUALTY akiwa ameletwa na Landcruiser ya Police na habari nilizopata dk chache baada ya kuteremshwa ni kwmb ameshaaga dunia. WanaJF mtapata hbr zaidi.
 
mhhh jina lake ni nani? na hivi mkowa wa kipolisi ni moshi ama Kilimanjaro?

RIP...
 
Ndo Kamanda Ngoboko au? Ana ma-issue nae huyo kama mwenzie CHiko aliyekuwa Kilimanjaro juzi kati!!

RIP kama kweli!
 
Anaitwa Lucas Ngoboko.
Sitoi R.I.P. mpaka nipate uhakika. hivi hahusiki kwenye uhalifu wa ujambazi kama mwenzake aliyemtangulia Mohamed Chiku?
 
du ngoboko kadedi...........alikua mtu saafi saana hana kashfa za kipuuzi kaamw wenzie
 
Ndiyo huyo Ngoboko RPC wa hapa Mkoani Kilimanjaro ila hakika tetesi sinasema huwa anakuwaga jeuri kweli kweli km mbogo aliyejeruhiwa. Mmmmmhh! Hakika MUNGU amlaze mahala pema peponi! Amen!
 
liache life tu limesumbua sana chama changu wakati wa kampeni ......
 
Habari zisizokuwa Rasmi kutoka Moshi zinaarifu kuwa aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Afisa Mtaafu Lucas N'goboko amefariki Dunia dk 20 zilizopita. Jitihada za kupata ithibati ya mamlaka husika zinafanyika kupitia Network yetu. N'goboko alistaafu hivi karibuni wadhifa wa ukamanda wa Polisi siku chache kabla ya kukumbwa na umauti.
 
Ni Lucas Ng'oboko sio Ngoboko wala Koboko mwenye gamba. Misuli yote ile haikufua dafu kwa kifo? Kweli 'kifo ni kiboko yao' kama alivyosema Dr. Remmy
 
Ni hbr ya kuaminika na niliyona kwa macho yangu RPC wa mkoa wa Moshi akiteremshwa hapa CASUALTY akiwa ameletwa na Landcruiser ya Police na habari nilizopata dk chache baada ya kuteremshwa ni kwmb ameshaaga dunia. WanaJF mtapata hbr zaidi.

Asante kwa taarifa mkuu, lakini ninayo masahihisho kidogo: Moshi ni wilaya na siyo mkoa, mkoa ni Kilimanjaro: hivyo hatuna RPC Moshi, tuna OCD Moshi na RPC Kilimanjaro.
 
Ni hbr ya kuaminika na niliyona kwa macho yangu RPC wa mkoa wa Moshi akiteremshwa hapa CASUALTY akiwa ameletwa na Landcruiser ya Police na habari nilizopata dk chache baada ya kuteremshwa ni kwmb ameshaaga dunia. WanaJF mtapata hbr zaidi.

Huo ndo Mkoa gani Tanzania au mie ndo mshamba wa TZ siku hizi
 
Back
Top Bottom