Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Issa Bulilo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kilimanjaro kwa utapeli wa Tsh. Mil. 2,000,000/-

nyamadoke75

Member
Apr 1, 2020
86
280
Usiku wa kuamkia leo Jeshi la Polisi kupitia kwa makachero wake walioweka mtego nyumbani kwake kata ya Korongoni wilayani Moshi walimtia mkononi majira ya saa 3 usiku akijaribu kutoroka na kukamatwa huku tapeli huyo amekutwa na hirizi tatu kiunoni.

Vijana hao mbele ya Jeshi la Polisi walikiri kutapeliwa kiasi cha shilingi milioni mbili na Mjumbe huyo kwa madai atawaunganishia kazi katika Jeshi la Polisi yeye akiwa kama kiongozi wenye nguvu kwenye chama cha CCM na pia walionyesha bank statmenti waliofanyia malipo kwa Bwana Issa.

Vijana hao wamesema kwamba Issa alisha zungumza na RPC wa Mkoa Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkuu wa wilaya kama viongozi waandamizi wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya na mkoa kuwapatia vijana hao nafasi kwa jeshi la polisi.

Taharifa zinasema kwamba mjumbe huyo mbele ya Mstahiki Meya wa Maspaa ya Moshi alikiri kuchukua fedha hizo na kwamba ameshatumia na ana namna ya kurejesha fedha na badalayake asamehewe tu.

Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro imepanga kumfikisha Mahakamani Bwana Issa Bulilo kwa kosa la kujipatia fedha kwanjia ya rushwa yaani utapeli.

ruswa.jpg

Screenshot_20230830_144719_Samsung%20Notes.jpg
IMG-20230830-WA0011.jpg
 
Wanamuonea tu huyo. Labda kaenda kinyume na matakwa ya utapeli ya wakubwa huko chamani. Kwasbb utapeli na wizi ndiyo msingi wa ccm. Hakunamwnccm ambaye siyok kk tapeli au mwizi
Nakazia utapeli ndio nguzo ya chama chao.
Hao vijana wamtie hata dole gumba huko nyuma kwake waambilie hicho kidogo.
Otherwise halipi kitu.
 
Usiku wa kuamkia leo Jeshi la Polisi kupitia kwa makachero wake walioweka mtego nyumbani kwake kata ya Korongoni wilayani Moshi walimtia mkononi majira ya saa 3 usiku akijaribu kutoroka na kukamatwa huku tapeli huyo amekutwa na hirizi tatu kiunoni.

Vijana hao mbele ya Jeshi la Polisi walikiri kutapeliwa kiasi cha shilingi milioni mbili na Mjumbe huyo kwa madai atawaunganishia kazi katika Jeshi la Polisi yeye akiwa kama kiongozi wenye nguvu kwenye chama cha CCM na pia walionyesha bank statmenti waliofanyia malipo kwa Bwana Issa.

Vijana hao wamesema kwamba Issa alisha zungumza na RPC wa Mkoa Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkuu wa wilaya kama viongozi waandamizi wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya na mkoa kuwapatia vijana hao nafasi kwa jeshi la polisi.

Taharifa zinasema kwamba mjumbe huyo mbele ya Mstahiki Meya wa Maspaa ya Moshi alikiri kuchukua fedha hizo na kwamba ameshatumia na ana namna ya kurejesha fedha na badalayake asamehewe tu.

Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro imepanga kumfikisha Mahakamani Bwana Issa Bulilo kwa kosa la kujipatia fedha kwanjia ya rushwa yaani utapeli.

View attachment 2734391
View attachment 2734387View attachment 2734388
Kala kwa urefu wa kamba yake.. Hiyo ndio hulka ya hicho chama hakuna maajabu hapo na hiyo kesi itaishia hewani
 
Back
Top Bottom