RPC KILIMANJARO: Traffic anakusanyia rushwa barabara ilipo nje ya ofisi ya RC geti la kutoka na geti la kuingilia DED wa Moshi Manispaa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,972
21,672
Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA.

Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa.

Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa.

RPC Kilimanjaro ondoa askari wako kwenye eneo Hilo, ni kero Kwa wananchi, watumishi na ni aibu.
 
Uki muona askari yoyote muonee huruma sana wana njaa kali balaa.. usi ombe ukutane nao wajue una pesa wana geuka kua majambazi ..

Kuna siku natoka Arusha naenda moshi usiku ,nime fika kwenye check point wame nisimamisha nilkua na pesa nme jisahau nme weka kwenye kiti cha pembeni, Asee hawa mbwa ni majambazi bila kuepo na gari zingine nyuma nazani nnge waishwa kwa sir God au kufunguliwa case ya uongo .
 
Mi nahisi ni wao (hao askari) baadhi yao kujiendekeza,mtu anapokea mshahara yawezekana unakaribia mshahara wa mwalimu kabisa,katikati ya mwezi ana pesa ya chakula,ambayo ni 300000/=,bado marupurupu mengine ya mara kawapa escort watu wa TRA Kwa wale walioko mipakani,then useme huyo mtu ana njaa?
 
Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA.

Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa.

Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa.

RPC Kilimanjaro ondoa askari wako kwenye eneo Hilo, ni kero Kwa wananchi, watumishi na ni aibu.
Ingelikua vyema neno "Kusumbua" likanyambuliwa vizuri wanasumbuaje "vile vitendo". Yawezekana wao wako katika majukumu yao ya kila Siku na ndio eneo lao la kazi. Madereva wa vyombo vya Moto Kuingia Ofisi ya RC au DED haimaanishi yasikaguliwe. Iko wazi ukiombwa Rushwa Toa taarifa kwa viongozi wake. Sidhani kama kuna yoyote mwenye kulazimishwa kutoa rushwa.
 
Nilichogundua ni kwamba kumbe taarifa za huku huwa zinafanyiwaga KAZI bna pamoja na kwamba taarifa hii ni ya mda mrefu ila tayar ila kumbe ilifanyiwa KAZI na rpc Kilimanjaro na yule muhisika kumbe ameshastaafu bna hongera kwao JESHI la POLISI MKOA WA Kilimanjaro kwa kulifanyia KAZI taarifa za huku
 
Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA.

Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa.

Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa.

RPC Kilimanjaro ondoa askari wako kwenye eneo Hilo, ni kero Kwa wananchi, watumishi na ni aibu.
KUMBE YANAYOANDIKWA HAPA HUWA YANAFANYIWA KAZI KIMYAKIMYA!!! Nimefuatilia Kuhusiana na taarifa ya gari PT4530 Toyota Noah yenye namba za usajili T523DRR iliyowahi kuandikwa kwenye ukurasa wa huu tarehe 1.Jan.2022 ikarudiwa kuandikwa kwenye ukurasa huu huu tarehe 9.Feb.2023 ikihusisha askariwa kike mzee hivi.

Askari huyo tayari ni mstaafu aliyekuwa anafanya vitendo vilivyokuwa vinaashiria kuwa na rushwa ambaye nimeambiwa alikuwa anaitwa SGT NETIWE.

Kumbe aliitwa nakuhojiwa na RPC kisha alitolewa kikosi Cha usalama barabarani nakupangiwa kazi nyingine wakati huo huo mda wake wa kustaafu ulikuwa umewadia . RPC MAIGWA baada kuona hizi tuhuma dhidi ya huyo askari wa kike alimwamru achukue likizo yake ya kustaafu na kuondoka Jeshini asiendelee kulichafua hata kama hazijachunguzwa na kujua ukweli wake.

Kinachowashangaza Polisi ni taarifa hii kurudiwa kunukuliwa kwenye ukurasa huu, wanasema kurudiwa rudiwa kwa taarifa hii ni labda ni kwa kuwa taarifa ikishaandikwa kwenye mtandao haifutiki hivyo watu wanazidi kuitumia na kuirejea?

Kuendelea kurejewa kila mara wanaona kabisa ni kuendelea kuchafua jeshi la polisi. Aidha wameojesha pamoja na hatua zilizochukuliwa waliendelea wakichunguza na kubaini taarifa hii Haikuwa ukweli na hatua walizochukua wanaona hata kama angekuwepo askari mwenye nia ya kufanya vitendo hivyo basi atakuwa amejifunza na kutotenda.
 
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom