Royal Tour: Faida ya Rais Samia kurekodi kipindi kutangaza utalii kimataifa

Hii kazi wangemlipa Star mmoja wa NBA.

Lakini kumpeleka Rais mbele ni makosa maana sijawahi kumuona mwanasiasa akifanya branding ya bidhaa au huduma yeyote ikafanikiwa.

Marekani ni Basketball, na wakiwahitaji hao lazima watumia timu au Stars wa NBA i.e Lebron James.
Hata Beyoncé angetangaza Tanzania kwa tweet tu watu wengi wangepata ujumbe kuliko Samia anavyorusha kipindi. Zaidi ya Tanzania huko duniani ni wangapi wana fahamu Chifu Hangaya?
 
Hata Beyoncé angetangaza Tanzania kwa tweet tu watu wengi wangepata ujumbe kuliko Samia anavyorusha kipindi. Zaidi ya Tanzania huko duniani ni wangapi wana fahamu Chifu Hangaya?
Kama kweli marekani ndio movers na shakers wa industry ya filamu basi angewatumia stars wa hiyo industry ila sio yeye pekee.

Ok atakaa huko marekani two weeks halafu baada ya hapo??

Ukiachana na hayo mtu akitaka kupata information kuhusiana na Tanzania akiangalia website ya Ubalozi wa marekani anaweza sitisha safari maana kuna alot of damaging information ambazo bado zipo.

Zikibakia kama zilivyo hicho kitakua kikwazo.
 
Hii kazi wangemlipa Star mmoja wa NBA.

Lakini kumpeleka Rais mbele ni makosa maana sijawahi kumuona mwanasiasa akifanya branding ya bidhaa au huduma yeyote ikafanikiwa.

Marekani ni Basketball, na wakiwahitaji hao lazima watumia timu au Stars wa NBA i.e Lebron James.
Mkuu

Hawawezi kukuelewa unachokimaanisha wakati wamekazania kutengeza taswira binafsi ya kusifiwa lakini hakuna matokeo yoyote chanya yatakayowanufaisha watanzania. Hii filamu ni ushahidi wa kutosha wa mtu kuja kufunguliwa makosa ya uhujumu uchumi huko mbeleni tunza hii huu mchango kwenye uzi huu
 
Back
Top Bottom