Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Hivi Kenya na Zambia nao walikaribisha mafisadi Papa au ? Mbona mnapenda kutumia mifano isiyo fanana
ccm wenye busara wameisha kwa Kuwa ni aibu kwa chama chenye. Dola kulalamika Kwamba Yule ni mwizi maana tulitegemea kimkamate,kimfungulie mashitaka na mwisho apelekwe anakositahili yana jera.shame on you ccm
 
no tunawahitaji watu wenye uwezo wa kubadirisha mfumo huu wa utawala ulioshindwa na si madikteta
Mkuu, nadhani tunaongea lugha moja ila tunatofautiana maneno tu na mpangilio wa maneno hayo. Sijapaona uliponipinga bali naona unaunga mkono hoja.
 
Fedha gani hzo hebu weka ushahidi mumekua mkitumia hiki kisingizio cha fedha kwa baadhi ya watu. Wananchi wanajua magamba ndo wezi wazulumati wa nchi

Wewe unadhani nini kilimtoa CCM? wasio na akili wanahitaji ushahidi, kwa wenzetu ile kutuhumiwa tu kunakutoa ktk sifa za uongozi. Sijui Mbowe atawaambia nini wana mageuzi, anyway tunamsubiri huku ground
 
Mimi nasema hivi. Cchenge naye siku anakabidhiwa kadi ya chadema warushe live..
Halafu wamsafishe live ili wapokee vijisent kwa roho safi!
 
Wapenda mabadiliko chanya tumefarijika lakini kuna baadhi yetu wanamashaka na usafi wa washikadau wakubwa ndani ya team lowasa kama karamagi na rostam, ni vizuri tukatumia majukwaa yetu haya kwa manufaa ,wale wenye kuwafahamu vizuri watu hao kwa undani yaani utajiri wao na mbinu zao za utajiri, waweke taarifa hapa, maana nguvu ya uchaguzi ni taarifa sahihi.
 
Kweli kabisa

Asante sana mpiganaji; najuta sana nikumbuka kwamba mwaka 1995 watanzania tuliikosa fursa adhimu kuifurusha CCM kupitia kimbunga cha Mzee wa NJI; Augustine Lyatonga Mrema; mwaka huu tuamke tuitumie Tsunami ya EL kuizika CCM na udhalimu wake, Once and for all; Enough is enough; CCM must die; and die now. period
 
Absolutely right.

Asante sana mpiganaji; najuta sana nikumbuka kwamba mwaka 1995 watanzania tuliikosa fursa adhimu kuifurusha CCM kupitia kimbunga cha Mzee wa NJI; Augustine Lyatonga Mrema; mwaka huu tuamke tuitumie Tsunami ya EL kuizika CCM na udhalimu wake, Once and for all; Enough is enough; CCM must die; and die now. period
 
That is short sighted thinking

And I call yours the apex of myopic thought process!! if you can not prioritize; obviously you can not achieve anything; spreading your resources too thin is a run to doom!

National Liberation is a long journey; conventional wisdom has it in the following stages; not neccessarily in that order anyway:
Dialogue with the oppressor/embezellers,thieves and poachers (CCM); if no yield next is mass mobilisation; then comes revolution or war; the final phase is national healing; reconciliation, reform and reconstruction; if you are sane enough you can understand that you can not undrtake all these phases at the same time; are we together??
Get CCM out first; reforms and reconstruction is a final phase!
 
Sawa sawa hakuna namna nyingine hapa.

Asante sana mpiganaji; najuta sana nikumbuka kwamba mwaka 1995 watanzania tuliikosa fursa adhimu kuifurusha CCM kupitia kimbunga cha Mzee wa NJI; Augustine Lyatonga Mrema; mwaka huu tuamke tuitumie Tsunami ya EL kuizika CCM na udhalimu wake, Once and for all; Enough is enough; CCM must die; and die now. period
 
mleta mada we ni mjinga sana..kama lowassa ni fisadi nenda mahakamani siyo humu....
 
KWANINI CHADEMA WAMEMCHUKUA LOWASSA??
(Kama una akili ndogo usisome)
Mnamo mwezi February mwaka huu Umoja wa
Katiba ya Wananchi (UKAWA) waliingia ubia na
kampuni maarufu duniani inayojihusisha na tafiti
za siasa (Political Research) ijulikanayo kama
Greenberg Quinlan Rosner. ( Greenberg Quinlan Rosner Research ).
UKAWA walitaka kujua kama wana nafasi ya
kushinda kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.
Kampuni hiyo ilimaliza utafiti wake mwezi May
mwaka huu na haya ndio yalikua majibu;
1. Ikiwa CCM itamsimamisha Lowassa kugombea
Urais, na UKAWA wakamsimamisha Dr.Slaa, CCM
watashinda kwa 58% dhidi ya 42% za UKAWA.
2. Ikiwa CCM itamsimamisha mgombea mwingine
asiye Lowassa kushindana na Dr.Slaa, CCM
itashinda kwa 54% dhidi ya 46% za UKAWA.
3. Ikiwa UKAWA itamsimamisha mgombea
mwingine ambaye si Dr.Slaa na CCM
ikamsimamisha Lowassa, CCM itashinda kwa
68% dhidi ya 32% za UKAWA.
4. Ikiwa UKAWA itamsimamisha mtu mwingine
ambaye sio Dr.Slaa na CCM ikamsimamisha mtu
mwingine ambaye sio Lowassa CCM itashinda
kwa 57% dhidi ya 43% UKAWA.
5. Ikiwa watu wote wa CCM wanaotaka Urais
wakiwekwa Pamoja na wa UKAWA wakawekwa
pamoja kisha wapigiwe kura za Urais kama
wagombea huru, Lowassa ataongoza kwa 14%
kisha Dr.Slaa atafuata kwa 09%, Membe 04% na
wengine chini ya hapo.
6. Ikiwa Lowassa atagombea kupitia UKAWA
atapunguza kura za UKAWA kwa 06% lakini
ataziongeza kwa 24%. Hii ina maana kuwa katika
watu 100 wa CHADEMA watu 6 hawataipigia kura
CHADEMA kwa sababu hawamtaki Lowassa.
Lakini Lowassa ataleta watu wapya 24. Yani
CHADEMA itapoteza kura 6 za wanachama wake
lakini itapata kura mpya 24 mpya.
DATA ANALYSIS
Ukisoma vzr huo utafiti hapo juu utagundua kuwa
Lowassa anaongeza umaarufu wa CCM kwa 18%.
Kwa hiyo kuondoka kwa Lowassa kutaipunguzia
nguvu CCM kwa 18%.
Sasa ikiwa CCM yenye Lowassa ina nguvu 58%
na UKAWA yenye Dr.Slaa ina nguvu 42%, maana
yake ni kwamba kumuondoa Lowassa CCM ni
kupunguza nguvu yao kwa 18% yani (58-18) =
40%.
Na kumleta Lowassa UKAWA ni kupunguza nguvu
ya UKAWA kwa 6% lakini kuongeza kwa 24%. Kwa
hiyo chukua 42 toa 06 kisha jumlisha 24 utapata
60%.
Sasa jumlisha 40% za CCM na 60% za UKAWA
kama haiji 100%??
Kwa hiyo UKAWA yenye Lowassa inashinda
uchaguzi kwa nguvu kubwa zaidi kuliko ambavyo
CCM ingeshinda ikiwa na Lowassa. Na hii ni kwa
sababu ujio wa Lowassa utaivunja CCM vipande
vipande.
Na ili uweze kuishinda CCM lazima uivunje
vipande kwanza. Huwezi kuishinda CCM ikiwa
imesimama imara.
Nchini Kenya KANU ilishindwa kirahisi baada ya
kuvunjwa vipande, Zambia UNIP ilishindwa baada
ya kuvunjwa vipande, na nchi nyingine za Afrika
vivyo hivyo.
Na njia rahisi ya kukivunja chama tawala ni kwa
kuondoa watu wenye ushawishi ktk chama hicho.
Fredrick Chiluba alikua mtu mwenye ushawishi
mkubwa akiwa UNIP lakini alipoondoka kwenda
MMD huo ndio ukawa mwisho wa UNIP maana
alikua na ushawishi na aliondoka na kundi kubwa
la watu.
Nchini Kenya akina Najib Balala, George Saitoti,
Musalia Mudavadi, Raila Odinga, Mwai Kibaki etc
walikua watu wenye ushawishi sana ndani ya
KANU. Lakini walipoondoka kwenda NARC hiyo
ndio ikawa mauti ya KANU.
Hii ni kwa sababu watu hawa walipoondoka,
waliondoka na kundi kubwa la wafuasi. Hivyo
basi hata Lowassa atasaidia kuivunja CCM na
hatimaye kuiwezesha UKAWA kushinda kirahisi.
Ikumbukwe Nyerere aliwahi kusema huwezi
kuishinda CCM imara yenye umoja. Kwa hiyo njia
rahisi ya kuishinda CCM ni kuivunja vunja
vipande. Na tayari kazi hiyo imeanza rasmi.
BAADA YA UTAFITI.
Baada ya ripoti ya utafiti huo wa GNR mnamo
mwezi May, UKAWA walikaa na kutafuta njia ya
kufanya. Walijua wazi CCM ikimpitisha Lowassa
UKAWA itaangushwa hata imsimamishe nani. Na
laiti CCM wangeona ripoti ya utafiti huo
wasingefanya kosa la kumkata Lowassa.
Wangempitisha ili waishinde UKAWA kirahisi.
Kwa hiyo UKAWA walikua wanafuatilia sana
mchakato wa CCM huku wakiomba usiku na
mchana wasimpitishe Lowassa. Na kweli Mungu
akajibu maombi yao.
Lakini UKAWA wakatafakari ikiwa
watamsimamisha Dr.Slaa kushindana na Magufuli
bado UKAWA itashindwa kwa kupata 46% dhidi ya
54% za CCM kama utafiti unavyoonesha.
Kwa hiyo ili kuishinda CCM ni kufanya nini? Ili
kuishinda CCM ni kumshawishi Lowassa ajiunge
na chama kimojawapo kinachounda UKAWA ili
apewe nafasi ya kugombea na kuiwezesha
UKAWA kushinda. Na ndivyo ilivyotokea.
Kwa hiyo kwa mujibu wa utafiti huo UKAWA
itashinda kwa 60% na CCM 40% kwenye uchaguzi
mkuu wa mwaka huu. Sasa nani asiyetaka
ushindi?
Siasa ni hesabu, siasa ni namba, siasa ni sayansi.
Kama hujui hesabu usifanye siasa.
Wavivu wa kufikiri wanaibua hoja uchwara za
ufisadi. Hivi fisadi ndani ya CCM alikua Lowassa
tu? Mbona baada ya kuondoka Lowassa bado
ufisadi umeendelea kushika kasi? Escrow,
Symbion, Meremeta, EPA etc, hivi vyote mbona
vimefanyika bila kuwepo Lowassa?
Acheni akili ndogo, tatizo sio mtu, tatizo ni
mfumo. Tukibadilisha mfumo tumebadilisha kila
kitu. Lowassa hata kama alikua fisadi kitendo cha
kujiunga UKAWA ni rahisi kuacha ufisadi wake
maana amejiondoa kwenye mfumo wa ufisadi.
Lakini kumuweka Magufuli kwny kundi la mafisadi
hata kama yeye sio fisadi lazima alinde mfumo
wa mafisadi uliomuweka.
Ni rahisi kumuokoa mwizi mmoja aliyeingia
kwenye kundi la Watakatifu, kuliko kumuokoa
mtakatifu mmoja aliyeingia kwenye kundi la
makahaba. Mwenye masikio na asikie."
 
Asante sana mpiganaji; najuta sana nikumbuka kwamba mwaka 1995 watanzania tuliikosa fursa adhimu kuifurusha CCM kupitia kimbunga cha Mzee wa NJI; Augustine Lyatonga Mrema; mwaka huu tuamke tuitumie Tsunami ya EL kuizika CCM na udhalimu wake, Once and for all; Enough is enough; CCM must die; and die now. period

Kweli, we have to remind them that this country belongs to Tanzanians, all Tanzanians.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Yan kama naliona bunge lijalo kambi rasmi ikiongozwa na makinda mawaziri kivuli nape, na baadhi ya wabunge wa ccm yangu....namuona mama makinda akiomba muongozo kwa mh speaker tundulisu. "mh.speaker naomba muongozo wako...maana this is not fair, mbona mm nilikua nawasikiliza muda mwingne "
 
Back
Top Bottom