Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

CosaNostra

Kwa hiyo sasa single ya Richmond imesahaulika ghafla !! Walikuwa wanafanya hayo kwa sababu ya mfumo uliokuwa unawalinda.
 
Last edited by a moderator:
CosaNostra

Kwa hiyo sasa single ya Richmond imesahaulika ghafla. Walikuwa wanafanya hayo kwa sababu ya mfumo uliokuwa unawalinda. Hakuna usimamzi mzuri wa watu kama hao, kwa mfumo wenu mnawaogopa kwa sababu ndo wafadhili wa chama.
 
Last edited by a moderator:
mwaka huu wa uchaguzi tunaona maajabu mengi.....
 
Kwa hiyo sasa single ya Richmond imesahaulika ghafla !! Walikuwa wanafanya hayo kwa sababu ya mfumo uliokuwa unawalinda. Hakuna usimamzi mzuri wa watu kama hao, kwa mfumo wenu mnawaogopa kwa sababu ndo wafadhili wa chama.
Kumbuka Richmonds = Dowans = Rostam, tahadhari ni kurudisha mfumo uleule kupitia kwetu, hivi why kusiwe na kura ya maoni tujue nani zaidi Lowasa au Slaa?
 
CosaNostra

sikio la kufa ilisiki dawa yaani wewe ataa Lowasa alivyo sema richmond anaye husika ni ngazi ya juu.bado ujaelewe !!?? Aise wewe hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .na ataa kama una mke au mume atakuwa analiwa nje ya ndoa na ataausiweze kuhisi.sijui unapata wapi ujasiri huu .akili ndogo kuwalete
 
Last edited by a moderator:
huwa nasikia raha sana ninapo ona/soma thread za kutia huruma toka kwa mabuku 7.

Tunaotaka mabadiliko ya kweli tunaamini yangekuja bila kukumbatia mafisadi.
Soma treads zangu za awali
 
sikio la kufa ilisiki dawa yaani wewe ataa Lowasa alivyo sema richmond anaye husika ni ngazi ya juu.bado ujaelewe !!?? Aise wewe hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .na ataa kama una mke au mume atakuwa analiwa nje ya ndoa na ataausiweze kuhisi.sijui unapata wapi ujasiri huu .akili ndogo kuwaletea akili kubwa upuuzi. Wako hapa jf .
Tatizo fedha imeshaanza kufanya kazi, tulimshambulia Lowasa CCM, tunamshambulia UKAWA na kokote atakaokwenda kutaka urais. Mimi naamini CDM tungeshinda bila EL. Sasa tumejipaka kinyesi
 
CosaNostr
Watanzania ukawa wana uwezo na kwakweli tumeona uwezo wao wa kuunda serikali yenye Nguvu na uwezo wa kudhibiti mtu yoyote tofauti na serikali ya ccm ambayo pamoja na Kuwa na majeshi yote,mahakama na uwezo wa kupitisha sheria yoyote kutokana na Kuwa na wabunge wengi still haina uwezo wa kuwakamata akina Rostam Aziz na wenzake,ni serikali dhaifu,dhaifu,dhaifu mpaka basi
 
Last edited by a moderator:
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo woteeeeeee


R.I.P CCM
 
Back
Top Bottom