Asije Rostram tu alete na mikoba yao ya fedha. Tunachotaka ni kila mtu aipigie kura ya ndio UKAWA tumng'oe huyu mkoloni mweusi, aliyejisahau na kutenda kuwa dharau mpaka akafa macho, Mjue huyu mkoloni alijisahau, viongozi wakafikia mahali pa kusema ati wananchi; They can go to hell, Wengine wakasema wananchi; Wale nyasi ili ndege inunuliwe, Wengine wakasema ati; Kama huna mia 2 upige mbizi baharini uogelee uvuke Kigamboni.
Nasema huku ni kupofuka kwa viongozi baada ya kutawala kwa mda mrefu. Dharau ndio hushika hatam na hofu ya Mungu huondoka. Acha tuyaondoe haya maccm kwanza, kwa njia yeyote ile.