Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Tanzania leo imekuwa kidemokrasia chadema atuongozwi na chama tunaonfozwa katiba alafu usituletee vitu vya uvumi sisi mbio zetu ni ikulu october.... Ilu tuwatumikie watz na tuwapatie ktb bora.. Na chama hiki c cha mtu bi cha watanAnia karibuni nyote... Hiki cha mtu km xxm
 
Kumbe bado hamjajipanga mnataka mjipange mbele ya safari?sasa tulieni walio jipanga waendeshe hii nchi
mkuu wanaendeshaje nchi wakati unaona nao wanalilia.can not to any thing kwa wezi na mafisadi,sasa waendelee ili iweje.ni bora Mara elfu watanzania kuchagua jiwe kuliko kuendelea na ccm.For your information:MAFISADI WaKIGUSWA NCHI ITATiKISIKA-waziri Mkuu Pinda ccm government
 
Tunaotaka mabadiliko ya kweli tunaamini yangekuja bila kukumbatia mafisadi.
Soma treads zangu za awali

"threads".

hakuna fisadi aliyekumbatiwa na wapenda mabadiliko.kama unadhani aliyekumbatiwa ni fisadi,ka-report kituo cha polisi kwa mashtaka zaidi.ninacho fahamu EL nimpenda mabadiliko aliyeshindwa kubadilika chini ya CCM,kutokana na mfumo zee wa chama hicho kutokuruhusu fikra huru za wapenda mabadiliko.kaenda kuyatafuta mabadiliko CHADEMA/UKAWA ambako yanapatikana kwa 100%.
 
kweli? hivi tuajengaje hoja dhidi ya ufisadi sasa?
Mkuu jambazi hukamatwa na jambazi mwenzie AMA moja kwa moja au kwa kuwatonya police.hivyo Lowasa atatusaidia kuwaangamiza mafisadi wengine ccm kwa mtindo ule ule wa jambazi kuwamiminia risasi wenzake baada ya kudhurumiana au kuwatonya police
 
Ukisoma comment za jf, unaweza amini ukawa ni wapinzani wa kweli but nenda kwa wapiga kura, ben saa8+mchambuzi ndo wanaujua ukweli wa kilichowapata
 
Sisi tunachojali ni kulitoa dudumizi ccm kwanza alafu mengine baadaye,hivi nyoka akiingia nyumbani kwako kitu cha kwanza ni kumuua alafu baada ya purukushani ya kuua nyoka akili ikitulia ndiyo unarudi kupanga vitu vilivyovurugika
ni kweli Mkuu,ukitaka kuua mti unang'oa mizizi si kukata matawi.mwasisi wa wizi na ufisadi nchi hii ni ccm,ukiondoa ccm umeondoa ufisadi na kulindana Tanzania
 
Ukisoma comment za jf, unaweza amini ukawa ni wapinzani wa kweli but nenda kwa wapiga kura, ben saa8+mchambuzi ndo wanaujua ukweli wa kilichowapata
Hivi kaka wale wanaotusaidia kuiba Kura bado wapo kwetu ccm
 
mkuu wanaendeshaje nchi wakati unaona nao wanalilia.can not to any thing kwa wezi na mafisadi,sasa waendelee ili iweje.ni bora Mara elfu watanzania kuchagua jiwe kuliko kuendelea na ccm.For your information:MAFISADI WaKIGUSWA NCHI ITATiKISIKA-waziri Mkuu Pinda ccm government

Jifunze kufanya mabadiliko ya dhati,hacha woga eti wakiguswa nchi haitawaliki!!
 
Tunamhitaji mtu dictator wa wastani. Lowasa anaweza.
 
Uzushi tu huo Watanzania tunataka mabadiliko ya kweli propaganda hazina tija kwa sasa
 
Tatizo fedha imeshaanza kufanya kazi, tulimshambulia Lowasa CCM, tunamshambulia UKAWA na kokote atakaokwenda kutaka urais. Mimi naamini CDM tungeshinda bila EL. Sasa tumejipaka kinyesi
Fedha gani hzo hebu weka ushahidi mumekua mkitumia hiki kisingizio cha fedha kwa baadhi ya watu. Wananchi wanajua magamba ndo wezi wazulumati wa nchi
 
Kenya ilikuwa hivyohivyo lakini sasa wanasonga mbele, wanadevelop saana, hivi miaka yote hiyo unanang'ania sisiemu na wafuasi wake wa Ict wazalendo wanaoridisha maendeleo nyuma kwa kusaini mikataba mibovu. Acha habari yako tusonge mbele Ukawa hoyeeee

Hivi Kenya na Zambia nao walikaribisha mafisadi Papa au ? Mbona mnapenda kutumia mifano isiyo fanana
 
Back
Top Bottom