Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Sisi tunachojali ni kulitoa dudumizi ccm kwanza alafu mengine baadaye,hivi nyoka akiingia nyumbani kwako kitu cha kwanza ni kumuua alafu baada ya purukushani ya kuua nyoka akili ikitulia ndiyo unarudi kupanga vitu vilivyovurugika
Safi sana na baadaye ndo tunaanza kukagua wapi pana matundu kwenye nyumba na kama aliingiaje mlangobuliokaribu ni nani aliuchawa mlango buliokaribu wazi
 
Hicho kichaa chako kitapona tu,na hiyo ni baada ya october, maana unajifanya huoni ingawa macho unayo pia kaa ukijua kuwa panapo fuka moshi ujue chini kuna moto,ccm kwa sasa zimebakia bendera tu

Sawa Mmawia tukutane October!
 
Mpaka sasa sijui ccm unatuachaje tangia 1995...eti Mh: Mwenyekiti ccm Unatuachaje arifu ???
 
Naona CCM wamechanganyikiwa nchi ndo inaondoka hiyo mikononi mwao, Ushauri kwa makamanda wakuu Mbowe,Slaa pamoja na Prof.Lipumba,Mbatia na Makaidi fanyeni jitihada za makusudi kuwashawishi hao hapo juu kwenye vuguvugu hili lA UKOMBOZI wa nchi wa pili.Kama ni tuhuma wametuhumiwa sana lakini ukweli unabaki palepale ndani ya CCM wasio na doa la tuhuma za rushwa ni wachache mno.Ni mfumo mbovu wa kiutendaji na kiongozi ndo umewafanya wawe hivyo, mbona enzi za mwalimu rushwa na ufisadi haukuwepo.

Chini ya Mfumo mzuri wa kiuongozi na uwajibikaji wa Ukawa tuhuma za rushwa kwa viongozi itakuwa mwiko.

Kama nilivosema hapo juu nashauri viongozi wa ukawa watafuteni hao jamaa hapo juu ILI KAMA NI KUCHONGA BASI CCM WACHONGE VIZURI
 
Back
Top Bottom