Rostam MUST Resign; CCM Must Act

Thats why I believe it will be good if Rostam himself decide to quit.

Mwanakijiji, ukiangalia Rostam amewekeza kiasi gani kwenye siasa za Tanzania unaweza kuona wazi kuwa hawezi kujiuzulu kiurahisi. Ukiangalia ame-finance kiasi gani kwenye kampeni za watu ambao sasa wako madarakani, sina orodha lakini nasikia kuwa kuna wabunge wengi wa chama tawala ambao pesa za kampeni, sio kwenye uhcgauzi huu tu hata ulipopita, zilitoka mfukoni mwake.

Unajua kwa sasa yeye ndiye most powerful politician in Tanzania, kila mtu anamuogopa. Watanzania milioni 40+ hatuwezi kupambana na yeye, kwa kuwa ameshika sehemu zote za madaraka. Hata kama ungekuwa wewe mwanakijiji usingeachia kiurahisi hatamu.

Siku zote watu wanapigania power, higher power, sasa Rostam ameshika executive, bunge na mahakama akiachia tu, kesho he is no body, so his survival is in staying up there.
 
Thats why I believe it will be good if Rostam himself decide to quit.
Mzee Mwanakijiji, thanks for wishful thinking kumuomba jamaa to quit. Pia nemekusoma leo kwenye Tanzania Daima. Majibu yote kuhusu RA yako kwenye majibu ya swali No.8.

Naamini kwa kupitia hilo swali lako number 8 tayari umesha connect the dots.

How can you ask the King Maker to Quit while the made king is mum?!.

Better ask the King to ask the king maker to quit because we don't need man-made kings anymore in future, that his role is over!.
 
sasa wata resign wangapi?

secondly mbona kuna kashfa kubwa nyingi kuliko hii na hakuna aliyeshurutishwa kujiuzulu?
 
sasa wata resign wangapi?

secondly mbona kuna kashfa kubwa nyingi kuliko hii na hakuna aliyeshurutishwa kujiuzulu?
You must be out of this world!!!

mbona wengi tu wameshashurutishwa, cousin Dau, PPF, W. Ngeleja, Chenge, Hosea, Meya wa Arusha, Mbunge wa shinyanga, nephew Lipumba, Zitto, JK, Makamba, nk...

Umekula nini leo?
 
Mzee Mwanakijiji, thanks for wishful thinking kumuomba jamaa to quit. Pia nemekusoma leo kwenye Tanzania Daima. Majibu yote kuhusu RA yako kwenye majibu ya swali No.8.

Naamini kwa kupitia hilo swali lako number 8 tayari umesha connect the dots.

How can you ask the King Maker to Quit while the made king is mum?!.


Better ask the King to ask the king maker to quit because we don't need man-made kings anymore in future, that his role is over!.

Kumeza ngumu, kutema ngumu
 
Binafsi I am against kumtafuta scapegoat mmoja wakati hapa watu zaidi ya 20 wa ngazi za juuu walishiriki na kutoa uamuzi wa hili jambo lakini hakuna anayesema wafutwe au wajiuzulu au wafukuzwe kazi au wafikishwe mahakamani

Unless you guys are proponents of the laws of the jungle.

I still dont buy kuwa the fall guy kwenye hili ni rostam..NO WAY!
 
Rostam anasaini mkataba upi kwa niaba ya SERIKALI? Rostam ana saini hundi gani pale hazina? Rostam anaandaa vocha ipi ya malipo kwa niaba ya serikali? Kwa nini ufisadi unaibuliwa zaidi ya mwaka baada ya kuwa umefanyika? Ofisi ya CAG huwa haiyaoni haya? Edward Hosea na TAKUKURU yake ni waajiriwa wa Rostam?
Tatizo haliko kwa Rostam peke yake. Endeleeni kuelekeza mashambulizi kwa Rostam huku NCHI inatafunwa nje ndani na sisi wenyewe. Mliiona ile bilioni tano "aliookoa" Magufuli juzi?

Kwani kocha huwa anaingia uwanjani kucheza??
Ukizungumzia ufisadi RA ndio team manager/kocha hao unaowataja ni first eleven yake tu chini kapteni JK.
RA ameji-encroach na system yote ya nchi hii kiasi kwamba kumtoa peke yake hakutoshi maana atakayekuja bado anaweza akawa ni chaguo lake. Umeshaambiwa anatawala kutokea benchi la ufundi, sheria zinabadilishwa in his favor.

Wote tunajua kulikuwa na rushwa enzi za mwalimu Nyerere, enzi za Sokoine, enzi za Ahmed Salim lakini kipindi hicho rushwa haikuwa ktk korido za IKULU. Babu yangu kafanya kazi kwenye jumba jeupe enzi za Nyerere analijua vilivyo.

Sasa hivi kama una dau, kupitia wasaidizi wake, unaweza kumleta rais wa nchi kufungua saloon (barner shop) yako mpya hapo mtaani na TBC 1 wakaja.
Tatizo pekee ni kwamba wakuu wengi wanaogopa anguko la huyu RA maana akianguka hututashangaa kungundua kuwa hata viongozi wa dini nao wako kwenye mkono wa RA.

UVccm kama wana ubavu waanze na huyu

That tells you nchi imeoza kiasi gani!!!
 
LO!!!!. Hii ni trela picha kamili ni pale atakapotuchagulia Rais 2015 kwa nguvu ya fedha.wa - TZ wote kama hamnazo kichwani kazi kuzungumza take ACTIN P/SE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo hili halitakwisha RA akijiuzulu vyeo vyake. Na wala halitakwisha JK na CCM wakiondoka madarakani. TUMEOZA nje ndani WATANZANIA. Tumeoza kila mahali. Labda Mwalimu afufuke. Nenda TPDF. Kumeoza. Nenda UwT. Kunanuka. Nenda TAKUKURU. Hakukaliki. Nenda POLISI. Huko ndio kabisaa. Nenda UHAMIAJI. Ni balaa! Nenda MAHAKAMA zetu. Hautatamani kurudi tena huko. Nenda BUNGENI. Yaani! Nenda UPINZANI. Acha tu.
Ninyi mnang'ang'ana ROSTAM, Rostam
 
The most weirdest thing katika huu mjadala wa RICHMOND ambao naona watu wana kila document ni kuwa husikii majina ya:

1. Tender process ilivyokuwa

2. TENDER VALUATION ilivyofanywa

3. Katika Valuation team hakuna anaytajwa

4. Final report ya Valuation team

5. Mapendekezo yaliyopelkwa kwa DG wa TANESCO

6. Majina ya wanasheria wa TANESCO walioridhia haya

7. Majina ya waliokuwa consulted kule WIZARA YA NNISHATI

8. Majina ya waliohusika kule WIZARA YA SHERIA


9. Ushauri wao kwenye hili jambo

10.Role ya PRIVATE law firms kuishauri TANESCO

11. Mchanganuo ulivyofanywa mpaka kuwateua hawa private lawfirms na sababu...PPA ilifuatwa na je PPRA waliridhia?

12.Majina ya hao wahusika from the private law firm

13. Walilipwa Kiasi gani per hour?

14. Comments za DG wa TANESCO zilikuwa zipi?

15. Wanasheria wizara ya NISHATI walikuwa akina nani na walimpa ushauri gani waziri?


16. Wahusika wa PPRA ambao walikuwa consulted na comments zao

naona kila kukicha tunajadili maamuzi ya kesi na hao wanao likisha hizi documents mbona hawaleti full mzigo includi hayo majina?

Unles JF is not as influential as it used to back in the day when people used to trust it with leaked docs...Kulikoni au kitumbua kishaingia mchanga?


Au kama wanavyosema wanywamwezi kuwa the GAME HAS BEEN RIGGED!!

leo tunaambiwa kuwa only one guy is responsible for all this fiasco...HAIWEZEKANI!!

Unless kuwepo public inquiry into this fiasco
 
Binafsi I am against kumtafuta scapegoat mmoja wakati hapa watu zaidi ya 20 wa ngazi za juuu walishiriki na kutoa uamuzi wa hili jambo lakini hakuna anayesema wafutwe au wajiuzulu au wafukuzwe kazi au wafikishwe mahakamani

Unless you guys are proponents of the laws of the jungle.

I still dont buy kuwa the fall guy kwenye hili ni rostam..NO WAY!
Kwa mtazamo wako, tuanze na nani au akina nani? Lazima tuwe na pakuanzia. Usiplay kutojua kama viongozi wako wa chama.
 
Who really owns Dowans?

By Joint Report: EAST AFRICAN
Januray 31 2011


Powerful businessman and ruling party MP for Igunga in Tabora, Rostam Aziz, is to be a beneficiary in the Dowans Tanzania award.

According to the proceedings from the International Court of Arbitration of the International Chamber of Commerce also known as the International Commercial Court (ICC), which recently awarded Dowans Holdings S.A. and Dowans Tanzania $65 million as compensation for breach of contract by the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Mr Aziz was appointed Dowans' attorney-in-fact as far back as 2005 "to manage the company's affairs outside the Republic of Costa Rica."


According to the resolutions of the Dowans Holdings board of directors, two directors of the company, Bernal Zamora Arce and Noemy del Carmen Cespedes Palma, granted in the name and on behalf of the company, a power of attorney in favour of Mr Aziz.


Powers granted to Mr Aziz include: "To transact, manage, carry on and do all and every business matters and things requisite and necessary or in any manner connected with or having reference to the business and affairs of the company and, for such purposes, to conduct all correspondences appertaining to such businesses and affairs."


The directors further granted Mr Aziz the power "to open and to close bank accounts... and to draw cheques on our accounts... and to sign all kinds of documents in connection with our accounts or money," read part of the resolutions signed by the firm's secretary, Mrs Palma.


It goes further to give Mr Aziz, the immediate former CCM treasurer and shareholder in the short lived RVR Rail Consortium that brought together Kenya and Uganda railways, the power to "pay, settle, deduct and allow all taxes, rates, charges, deductions, expenses and all other payments and outgoings whatsoever due and payable or to become due and payable for or on account of any property, whether movable or immovable and whether in possession or in action, now or hereafter belonging to us or to which we may become entitled."


Mr Aziz has consistently denied having any links to the Richmond company that was involved in the scandal that saw former prime minister Edward Lowassa resign his post (see Box). Dowans is the successor company to Richmond.


According to documents tabled in the arbitration proceedings, which The EastAfrican has seen, one Mr Gire, a cofounder of Richmond (REDVCO) who faces a court case in Tanzania over the same issue, is said to have told the ICC that the owner of the company is Mr Aziz.

The ICC was told Mr Aziz was such a "powerful and influential" individual that some laws were amended in his favour. The Richmond scandal was the subject of a Parliamentary probe that led to the resignation of the Mr Lowassa.


According to the report of the proceedings, the ICC accepted the finding that Mr Aziz was so "powerful and influential" as to have diverted the contract to the claimant, Dowans, outside the Public Procurement Act.

The contract went to favour "his friends and himself through the claimant and to have influenced the MEM (Ministry of Energy and Minerals) to force Tanesco's Mr Hans Lottering to sign the POA (agreement for emergence power supply)."


Mr Lottering testified before the ICC that he was told that "something would happen" to him if he did not sign the POA. He was formerly Tanesco's general manager-transmission under Net Group Solutions of South Africa.


The evidence presented before the Tribunal shows the involvement of Mr Aziz in getting the whole procurement out of the PPA and diverting the lucrative contract to a "business of him and his business friend" derived from the testimony of Henry Surtee.


The Tribunal accepted the testimony of Mr Lottering that, "even using the international tendering (open tender method) which is the most inefficient and the longest method, if not interfered with, Tanesco would have procured the POA more efficiently and within a much shorter period than the period of 18 months that the Ministry of Energy and Minerals took to procure POA through the committee formed outside the law."

Last week, Minister for Energy and Minerals William Ngeleja named the owners of Dowans Tanzania as Dowans Holdings S.A and Portek Systems and Equipment PTE Ltd.
 
Nakumbuka ripoti ya Mwakyembe ilitaja watu wengi sana kwa majina yao. Wengi bado wapo makazini na nyadhifa zao zilezile. Lowassa yupo. Ni WM mstaafu! Rostam ni MBUNGE kwa ridhaa ya WanaIGUNGA. Ninyi mnataka ajiuzulu. Hana sahihi yake popote kwenye sakata lile la Richmond na baadaye DOWANS! Anatajwatajwa tu kwa hisia na vionjo mbalimbali. Simtetei.
 
[FONT=Times New Roman, serif]If you wouldn’t go, I hope CCM’s Youth Wing will have the courage to call for his resignation or removal from the party and eventually under articles of CCM’s own Constitution NEC will take action against him for the scandal Rostam has brought to the party. [/FONT][/QUOTE]

Ha! You know that UVCCM is in his payroll as well
 
Nimesahau kuweka PRE-QUALIFICATION process
Wewe bwana unachekesha mweli kweli kweli.....unataka documents kutoka jf?, unataka tuanza na member wa tender board wakati tunajua kulikuwa na shinikizo la EL kama waziri mkuu...hizi discussion za processes tulishazijadili hapa sana.

Sasa ni wakati wa ku-act. RA must go.
 
Back
Top Bottom