Mwanakijiji, ukiangalia Rostam amewekeza kiasi gani kwenye siasa za Tanzania unaweza kuona wazi kuwa hawezi kujiuzulu kiurahisi. Ukiangalia ame-finance kiasi gani kwenye kampeni za watu ambao sasa wako madarakani, sina orodha lakini nasikia kuwa kuna wabunge wengi wa chama tawala ambao pesa za kampeni, sio kwenye uhcgauzi huu tu hata ulipopita, zilitoka mfukoni mwake.
Unajua kwa sasa yeye ndiye most powerful politician in Tanzania, kila mtu anamuogopa. Watanzania milioni 40+ hatuwezi kupambana na yeye, kwa kuwa ameshika sehemu zote za madaraka. Hata kama ungekuwa wewe mwanakijiji usingeachia kiurahisi hatamu.
Siku zote watu wanapigania power, higher power, sasa Rostam ameshika executive, bunge na mahakama akiachia tu, kesho he is no body, so his survival is in staying up there.
Tatizo hili halitakwisha RA akijiuzulu vyeo vyake. Na wala halitakwisha JK na CCM wakiondoka madarakani. TUMEOZA nje ndani WATANZANIA. Tumeoza kila mahali. Labda Mwalimu afufuke. Nenda TPDF. Kumeoza. Nenda UwT. Kunanuka. Nenda TAKUKURU. Hakukaliki. Nenda POLISI. Huko ndio kabisaa. Nenda UHAMIAJI. Ni balaa! Nenda MAHAKAMA zetu. Hautatamani kurudi tena huko. Nenda BUNGENI. Yaani! Nenda UPINZANI. Acha tu.
Ninyi mnang'ang'ana ROSTAM, Rostam
Kaka,
Hii imekaa ki-ukweli kabisa. Kama Rostam akikumbwa na masahaba yoyote kama yeye au akamatwe, au ajiuzulu CCM, chama hiki kitakufa flat, au msambaratiko utakaotokea hakuna anayeweza kuutabiri. Ni mkubwa mno!
CCM haipo bila Rostam, na serikali yenyewe haina lolote bila Rostam kudecide kwa JK yes lifanyike jambo au au no lisifanyike...na je assume Rostam ametoweka ghafla! Hata Rais atakimbia...! Ulishaona nchi yoyote Rais anakubali 'kulowa mvua' (mascandal) kama JK, wakati 'mwavuli amemfunika mwingine' Rostam? La hasha, anajua kama sio Rostam, hata yeye JK hatakuwepo! Finish...
Ni sawa Baba Enock, lakini Misri bila Mbaraka itakuwepo tuu! Tanzania bila RA itakuwepo kabisa. Kwanza huyu jamaa ana operate behind the seen, so people wouldn't notice is absence. Its time now for this guy to go, other wise ataondoka na mtu mzima Cairo style!!! Rostam Out!!!!!!!!!CCM bila Rostam Aziz Haiwezekani, Haipo, Ni Mfu...
At the moment Rostam Aziz is the Ruling Party and the proxy President Of the United Republic Of Tanzania ...
Rostam Aziz akijitoa ndani ya CCM na ndani ya Serikali, hii nchi haitakalika (Trust me Mwanakijiji)!
Ooh,mazee kumbe umekopy na kupaste from newspaper.
you know there different between KNOWING WHAT YOU ARE TALKING AND JUST TALKING.
I mean lyke parrot..realy ticks me off ..is this east africa newspaper our knew costitution now in which we must follow?
Make do with some CONCRETE EVIDENCE guys instead of yapping,whinning lyke a bloody parrot.
Every accused person is innocent until proved otherwise and it is not for the accused to prove his/her inoccense but it is up to the accuser to prove without leaving any doubt
Umesahau kuandika kwamba ingawa hana sahihi ni yeye anayekwenda kuzichukua cheques kule hazina. Sasa sijui kama hazina wanajua kuwa wanampa a wrong person ambaye hana sahihi popote katika dowans?Nakumbuka ripoti ya Mwakyembe ilitaja watu wengi sana kwa majina yao. Wengi bado wapo makazini na nyadhifa zao zilezile. Lowassa yupo. Ni WM mstaafu! Rostam ni MBUNGE kwa ridhaa ya WanaIGUNGA. Ninyi mnataka ajiuzulu. Hana sahihi yake popote kwenye sakata lile la Richmond na baadaye DOWANS! Anatajwatajwa tu kwa hisia na vionjo mbalimbali. Simtetei.
[FONT=Times New Roman, serif]It is time for Mr. Rostam Aziz to resign. It is time for him to call quit all his political posts within the ruling party including resigning as the current MP for Igunga. I for one have had enough of it. His name and his level of arrogance has become an absolute enigma in the country. Im quite sure he is a very nice person, probably very loyal to his friends and I will not dispute the fact that he has become one of the very influential people in Tanzanian politics. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]For me however, his involvement in the whole Dowans saga from the very beginning up to now has led me to believe without any shadow of doubt that here we are dealing with one of the most well planned, organized and corruptly executed deal ever. It pales in comparison to any other corrupt deal before.The machinery and the individuals involved to make this deal possible make me wonder if we are not in fact dealing with a mafia like crime ring or something similarly audacious and sophisticated. I know for a fact that It could not have succeeded as it has without the help, the means, and the powers of Rostam Aziz. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Last weeks revelation in The East African coupled with what we have discovered over the past few years as the Dowans/Richmond fiasco unfolded has made me to propose that one way of dealing with the impunity of political corruption within the ruling part which has now permeated the very ranks of our government higher structures is for Mr. Rostam to resign or be dismissed from the party.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]I know, he is not the sole source of corruption scandals in the country; nor is he the only person who need to be held accountable for a corrupt system we have created and sustained for almost 30 years now. Yes I know his resignation will not be a panacea of our corruption, incompetence and weak leadership that we have. I know all that.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]But given the way he has handled the Dowans issue as a member of Tanzanian Parliament, an individual who was sworn to uphold, defend and protect our Constitution is indeed troubling and in fact I will argue offensive. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Im so tempted to outline how Rostam participated from the formation of an offshore company in Costa Rica up to the recent ICC case; or try to pen down the names of the other people in this syndicate that brought us Dowans some of which are very prominent officials. All that will just confirm that which few people know to be the case that behind Dowans, there is Rostam and indeed behind Rostam there is a group of very corrupt public officials and businessmen (some foreign). But I wont go there for now, what Im saying is that he should be the first to go while others follow behind. His time is up. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]I wish I didn't have to say this but I have to; Do us a favor Mr. Rostam, resign honorably (if honor has any meaning at all). Please take responsibility for the role you played in this whole mess and have the moral courage to offer this nation your apology for this encampment in the valley of a corrupt deal. But, before you leave would you please tell the nation that has given you so much whose interests do you stand for. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]If you wouldnt go, I hope CCMs Youth Wing will have the courage to call for his resignation or removal from the party and eventually under articles of CCMs own Constitution NEC will take action against him for the scandal Rostam has brought to the party. [/FONT]
What are you talking about here doesn't make any sense to me next time read carefully before posting schizophrenic replies here