Nimekumbana na Nyaraka zinazotoka kwa mtu anayeitwa Habib Mahlouji ambaye ni CEO WA CASPIAN ,nyaraka hizi zimenistuia sana kwani sikujua kuwa kumbe Rostam amekodishiwa kuchimba alimas ya Mwadui/au ameuziwa kazi hiyo ya kuchimba Almas tangu mwaka 2007 na mmiliki wa Williamson Diamond chini ya kampuni inayoitwa "CASPIAN MINING DIVISION" na kauli mbniu ya kampuni hiyo ni "We never Forget Who We Are Working For".
katika ushahidi wa nyaraka hizo inaonekana wazi kuwa CASPIAN LIMITED wana vitengo vifuatavyo;
1.CASPIAN CONSTRUCTION
2.CASPIAN AGRICULTURE
3.CASPIAN MINING.
Sehemu ambazo wanachimba madini ni pamoja na zifuatazo,
Yafaa sasa tukawafuatilia watu wafuatao kwani ndio kiungo muhimu cha Rostam Azizi ,
na inawezekana Kigwangalla anajua jambo hili ndio maana anataka waqnanchi wa Nzega waandamane kufunga mgodi.

- Caspian Mining -golden pride Nzega
- Caspian Mining-Buzwagi Kahama
- Caspian Mining-wazo Hill Dar Es Salaam
- Caspian Mining -Tulawaka
- Caspian Mining-Mwadui.
Yafaa sasa tukawafuatilia watu wafuatao kwani ndio kiungo muhimu cha Rostam Azizi ,
- Habib Mahlouji
- Henry Surtees
- Michael Minja
na inawezekana Kigwangalla anajua jambo hili ndio maana anataka waqnanchi wa Nzega waandamane kufunga mgodi.