Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,982
- 2,938
Rostum ni muhini tena hakuna mtuu muhuni kama yeyeGT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Mtu pekee aliweza kumdhibit ni Jpm Mzalendo wa kweli wa taifa letuu