Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,585
- 9,575
Kuna sehemu Chuma kilifail sana, Kuna watu ilipaswa wapotee tu mapema
Mara kagameMhuni wa kiajemi, alimmaliza mtanganyika yule mzee wa suspender
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Unapoongelea mtandao unaoongoza Tanzania mtandao wenyewe ndio Rosti tamu aziza. Huyo ndio mhuni mwandamizi.GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Atakupiga fix tu,GT

CDM walishatuambia Lowassa hakuwa fisadi, so usimhusishe na RostamGT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Hamna mtu mule. Eti Rostam ni mtu wa Igunga na MO singida nchi hii tumepigwa sanaKwenye hiyo picha Kuna mtu anatoa macho tu sijui kama hata anaelewa kinachosainiwa hapo
Kama manjiKuna sehemu Chuma kilifail sana, Kuna watu ilipaswa wapotee tu mapema
Si alikuwa mweka hazina wa Mbogamboga?Na alisaini kama nani kwenye nchi hii?
DalaliUmeambiwa ni politician broker kipi huelewi mkuu
Lakini hawatawezawalishatufanya mazuzu sana
Rostam, kikwete na nchimbi