Rostam Azizi atuambie huu Mkataba ulihusu nini?

Alafu heti MO anaogozwa kwa utajiri Forbes nyoko serikali Imeamu kumbrand MO tu hana makando kando mengi huyu ni tycoon ana mpaka share kwenye mgodi wa Mwadui
 
Kumbe rostam aziz ni muajemi.

Basi naendelea kuelewa zaidi maono yangu.

Kuna maono ambayo niliyapokea kwa staili kama ya kwenye Daniel 5:5,25 vidole vya mkono wa mwanadamu vinaandika maneno ukutani "MENE MENE TEKELI NA PERESI."

Kwenye maono yangu niliopewa ilikuwa ni kwamba ulitokea mkono umeshika barua na ulinipa barua hiyo ukiambatana na sauti(ilikuwa ni sauti inaongea tu hewani hewani bila mwili wowote kuonekana ) iliyokuwa ikiniambia "Pokea barua kutoka ...(mahali fulani ambapo ni sehemu iliyopo Tanzania na pana husiana na utawala wa nchi ya Tanzania kiujumla)." Nami nikanyoosha mkono wangu nikaipokea barua hiyo(ilikuwa ndani ya bahasha ambapo aina ya ile bahasha sijawahi kuona mfano wake,ni bahasha ya aina yake).Nikafungua bahasha nikaitoa barua,nikaisoma kujua mambo yaliyomo.

Tofauti na maono ya kwenye Daniel 5:5,25,maandishi yaliandikwa ukutani lakini mimi nilipewa barua.Pia mwonekano wa mambo yaliyomo kwenye barua hiyo ni tofauti kidogo na maneno ya kwenye Daniel 5:5,25.Ila ufanano ni kwamba nimepokea maono hayo kutoka kwenye mkono unaoelea hewani.

Nilitumia zaidi ya miezi sita kuyatafakari yale maono,mwanzoni nilikuwa naogopa hasa nilivyokuwa naukumbuka ule mkono unaoelea hewan peke yake(ndani ya chumba changu) na kunipa barua lakini baadae nilikuja kuelewa maana ya ule mkono na maana ya ile barua.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bila shaka hayo maono yametoka kwa netanyau
Maana kaahidi kuwatafuta waajemi popote walipo
Na huyu rostaaaam kama hafazil harmas bhc itakua Hezbollah 🧐😃
 
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.

Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.

Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Jinsi ⌚ 💯 alivokaa ukute hajui kinasainiwa nini ila alisema tu maliza kila kitu mwanangu hakuna shida 😆
 
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.

Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.

Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Mtu anaejiita Rais anachungulia jinsi Mwenyenchi anayejiita mwekezaji anavyosigina sahihi...yaani hadi aibu naona mimi. Hapo sasa Rais alikuwa anashuhudia kama nani kwa hao watia sahihi?
Kama hayakuwa majukumu ya mkuu wa nchi kwanini hakuwaacha Waziri wa Sheria na Katiba au waziri wa Viwanda na biashara au Waziri Uwekezaji wahusike?
Kuna binadamu wengine hawajui hata majukumu yao.
 
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.

Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.

Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Mtu anaejiita Rais anachungulia jinsi Mwenyenchi anayejiita mwekezaji anavyosigina sahihi...yaani hadi aibu naona mimi. Hapo sasa Rais alikuwa anashuhudia kama nani kwa hao watia sahihi?
Kama hayakuwa majukumu ya mkuu wa nchi kwanini hakuwaacha Waziri wa Sheria na Katiba au waziri wa Viwanda na biashara au Waziri Uwekezaji wahusike?
Kuna binadamu wengine hawajui hata majukumu yao.
 
Kumbe rostam aziz ni muajemi.

Basi naendelea kuelewa zaidi maono yangu.

Kuna maono ambayo niliyapokea kwa staili kama ya kwenye Daniel 5:5,25 vidole vya mkono wa mwanadamu vinaandika maneno ukutani "MENE MENE TEKELI NA PERESI."

Kwenye maono yangu niliopewa ilikuwa ni kwamba ulitokea mkono umeshika barua na ulinipa barua hiyo ukiambatana na sauti(ilikuwa ni sauti inaongea tu hewani hewani bila mwili wowote kuonekana ) iliyokuwa ikiniambia "Pokea barua kutoka ...(mahali fulani ambapo ni sehemu iliyopo Tanzania na pana husiana na utawala wa nchi ya Tanzania kiujumla)." Nami nikanyoosha mkono wangu nikaipokea barua hiyo(ilikuwa ndani ya bahasha ambapo aina ya ile bahasha sijawahi kuona mfano wake,ni bahasha ya aina yake).Nikafungua bahasha nikaitoa barua,nikaisoma kujua mambo yaliyomo.

Tofauti na maono ya kwenye Daniel 5:5,25,maandishi yaliandikwa ukutani lakini mimi nilipewa barua.Pia mwonekano wa mambo yaliyomo kwenye barua hiyo ni tofauti kidogo na maneno ya kwenye Daniel 5:5,25.Ila ufanano ni kwamba nimepokea maono hayo kutoka kwenye mkono unaoelea hewani.

Nilitumia zaidi ya miezi sita kuyatafakari yale maono,mwanzoni nilikuwa naogopa hasa nilivyokuwa naukumbuka ule mkono unaoelea hewan peke yake(ndani ya chumba changu) na kunipa barua lakini baadae nilikuja kuelewa maana ya ule mkono na maana ya ile barua.
Ndo umemaliza au ina endelea mkuu. umetuacha njiani.
 
Huyo ndo Persian mwenyewe

Ana undugu na ayatollah
Na ndio maana yeye na JK wameshika mapembe bibi kizimkazi ili wafanikishe ndoto yao ya kuiteka Tanganyika iwe kama Iran. Iwe chini ya himaya yao, Iwe na regime ya familia itakayomiliki nchi, haswa bunge, mahakama na majeshi. Je wajua kwamba hata Iran ina serikali yake na ina raisi? TANGANYIKA WAKE UP.
 
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.

Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.

Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Kumbe ana asili ya Iran (Zamani Persian), the axis of terror in politics!!!
 
Na ndio maana yeye na JK wameshika mapembe bibi kizimkazi ili wafanikishe ndoto yao ya kuiteka Tanganyika iwe kama Iran. Iwe chini ya himaya yao, Iwe na regime ya familia itakayomiliki nchi, haswa bunge, mahakama na majeshi. Je wajua kwamba hata Iran ina serikali yake na ina raisi? TANGANYIKA WAKE UP.
Ayatolla Khomenei (Iran veins), these guys should be flushed out from the system, the earlier the bird eye the better.
 
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.

Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.

Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195

Hiyu jamaa yupo behind a lot of deals. Slipoonfoks alidai anachana na siasa uchwara. Sasa anaxirudia kwa bile Polepole kamgusa.

Haiwezekani Waarabu wakapata hizo deals zote hizo bila mashirika.
 
Pichani kulia kwa Rost Tam Aziiv anaonekana mama fulani muimba taarab ambaye wala haelewi chochote kinachosainiwa hapo!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom