Jamani,
Acheni propaganda yenu hiyo hapa, tumeshawajua. Hakuna kampeni wala nini, Zitto na issue yake ni kitu kidogo sana kwa RA kuiingilia, haimu affect yeye wala kambi yake, jamaa ni msomi na very smart. Angalieni alivyotengeneza hela zake kabla hata ya kuingia kwenye system.
Mnachofanya humu ni kumpaka matope pasipo ushahidi wala haki.
Kumsaidia JK au kumfanyia kampeni ilikuwa jukumu letu sote wana CCM. Sasa issue ni nini hapo??? ana mradi gani mchafu, ana kashfa ipi?? umewahi kuona mtu anagombea nae kule Igunga? kwanini?
Ndio ujue jamaa ni mtu wa watu, nenda Igunga kaulize ndio utaelewa RA ni nani. Anawajali wananchi.
Kwa ufupi ni Mtanzania halisi.
ACHENI KUENEZA CHUKI NA UONGO.
Viva RA.
FD
Jamani,
Acheni propaganda yenu hiyo hapa, tumeshawajua. Hakuna kampeni wala nini, Zitto na issue yake ni kitu kidogo sana kwa RA kuiingilia, haimu affect yeye wala kambi yake, jamaa ni msomi na very smart. Angalieni alivyotengeneza hela zake kabla hata ya kuingia kwenye system.
Mnachofanya humu ni kumpaka matope pasipo ushahidi wala haki. Kumsaidia JK au kumfanyia kampeni ilikuwa jukumu letu sote wana CCM. Sasa issue ni nini hapo??? ana mradi gani mchafu, ana kashfa ipi?? umewahi kuona mtu anagombea nae kule Igunga? kwanini?Ndio ujue jamaa ni mtu wa watu, nenda Igunga kaulize ndio utaelewa RA ni nani. Anawajali wananchi.
Kwa ufupi ni Mtanzania halisi.
ACHENI KUENEZA CHUKI NA UONGO.
Viva RA.
FD
Kichwamaji,
Thanks.
Mwafrika wa kike,
Ninaelewa frustrations zako lakini,
Mbona JM anadaiwa alipokea hela za wa Iran?? na yeye ni Muhindi? Sio kila msikiayo ni kweli.
Tafitini then tujadili.
Am sorry siwezi kukusaidia na hasira zako
FD
RA ni mwizi na kila kampuni feki unalolijua nchi hii ambalo limepewa pesa na BOT jua kwamba kuna mkono wake humo ndani.
Mmesahau kuwa DOWANS ambaye alimchukua RICHMAN anahusika moja kwa moja na RA?
Sio kwamba nina mapenzi zaidi na chama kuliko nchi yangu but ukweli unabaki kwamba the only party that can move us forward is CCM. BUT, kiwe in the right hands. Wapinzani wote ni wasanii, na siwezi vipa heshima vile kama ni vyama, they are just pressure groups. Hawaja graduate kufikia kuwa vyama in my view.
Cha muhimu ni kukiweka chama cha mapinduzi in the hands of the right people na pia serikali in the right people's hands, especially wizara ambazo zina direct effect na maendeleo ya nchi.
I think it is too late to expect that CCM will ever be in the hands of the right people. It is like expecting New York to get rid of the Cosa Nostra mafia. For you to move up in CCM you must be mwenzao and for you to be mwenzao you must be a crook like them.
Kichwamaji,
Thanks.
Mwafrika wa kike,
Ninaelewa frustrations zako lakini, amini amini ninakuambia sio RA anayesababisha hizo frustrations zako, ni viongozi wako uliowachagua mwenyewe. mimi sipo kwenye payroll yake. Kamwe siwezi kumwemo nina msimamo wangu. Lakini kusema anaendesha propaganda kwa ajili ya kummaliza Zitto ndio ninakataa, the guy thinks "big" sio issue ndogo ndogo kama hizi. Wapo ndani ya CCM wa kuendesha hizo propaganda sio yeye, mnamuonea bure.
Mbona JM anadaiwa alipokea hela za wa Iran?? na yeye ni Muhindi? Sio kila msikiayo ni kweli.
Tafitini then tujadili.
Am sorry siwezi kukusaidia na hasira zako
FD
This is strong na powerfull, I like it bro!
I think it is too late to expect that CCM will ever be in the hands of the right people. It is like expecting New York to get rid of the Cosa Nostra mafia. For you to move up in CCM you must be mwenzao and for you to be mwenzao you must be a crook like them.
Whatever happened kwenye kile kitisho cha kusema watalishitaki lile gazeti lililoandika kuwa JK alipokea hela za kampeni kutoka Iran kupitia kwa RA?