Sober
JF-Expert Member
- Jun 6, 2008
- 289
- 52
Wakuu Rostam hakuwahi kuwa mweka hazina wa CCM taifa kabla ya JK kuwa rais. Rostam hakuwa mjumbe wa CC kabla ya JK kuwa rais. Kipindi cha kutafuta mgombea wa CCM na baadae Urais wa nchi, mweka hazina wa CCM taifa alikua marehemu Salome Mbatia.
Katika kikao maalum cha CCM ambapo mkapa aliamua kung'atuka uenyekiti wa chama kabla ya wakati(nafikiri ilikua february 2006) na kumkabidhi chama JK, JK aliunda sekretariate yake mpya kwa kumteua makamba(KK), rostam(treasurer), Migiro(mambo ya nje ccm),jaka mwambi (naibu KK), na sikubuki nani uenezi. Kipindi hiki Rostam alishachota za Kagoda. Rostam alikuja kutemwa utreasurer baada ya JK kuunda sekretariate mpya baada ya uchaguzi mkuu wa chama 2007. Na kipindi hiki ndio kuna vikampuni vingi sana vilichota za rejareja (between 2-4billion per cycle) EPA. Ukaguzi wa EPA ungepanuliwa kidogo watu wangeshikwa na butwaa. Na kipindi hikihiki huyu jamaa ndio alikua hakauki Hazina kwa mama Meghji, mpaka maafisa wakampa code ya waziri kivuli wa fedha. Kina Lukaza na Maranda wote wamepewa michongo ya kuchota EPA na huyu bwana. Yeye kama kawaida, kazi yake ni kupush ubadhirifu bila jina lake kuonekana kwenye makampuni yaliyochota.

Last edited: