Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Na anahusishwa kwa 100% na kifo cha Jiwe !
 
Huyu jangili kwa kweli inabidi akamatwe tu maana anaifilisi nchi mno.
 
kumbe obama na rostam wanashirikiana maana nachojua symbion ni ya wamarekani na obama alikuja 2013 kuizindua kwa kucheza mpira na jk hapa ubungo karibu na mto gide
 
Hivi malori yenyewe sio ndio haya yanayopita Great North Road ,na yanatuharibia mabinti zetu wa Babati ,Namanga,Chemba,Mtera,Ifunda,Ifunda,Makambako..
 
Penye ujinga hata Panya anaweza mla Paka!
 
Hivi malori yenyewe sio ndio haya yanayopita Great North Road ,na yanatuharibia mabinti zetu wa Babati ,Namanga,Chemba,Mtera,Ifunda,Ifunda,Makambako..
Mwanzo sikuelewa (ilikuwa kwenye mada nyingine) na sikutaka kuamini mtu anaweza toa makaa ya mawe kusini mwa Tanzania mpaka Kenya; wakati Mtwara kuna bandari.

Imechukua muda kuelewa, lengo sio biashara bali kuchota tu hayo makaa faida inaishia kwenye operational costs. It β€˜mΔ…kΔ™ sense’ biashara ilipo.

Lakini hawa watu dah
 
Tupo live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…