Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Jf imegeuka kuwa kama page za magazeti ya udaku, hawataki tena habari nyeti nyeti hata kama hizo nyeti zina uhalisia.

Sasa hivi kila post ya Britanicca inayowekwa haikai zaidi ya dakika 20 ina disapear
 
Akiweka nitag
 
Attachments

  • Screenshot_20260829_093727_Instagram.jpg
    230.3 KB · Views: 7
Ukitazama kwa umakini kuna agenda ya rangi nyeupe kuifuta rangi nyeusi kwa mbinu za kijinga
 
We hujui hilo?
hao wapo kitambo tu we ndio unapata maswali leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…