Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

upo sawa sana kaka hawa watu ndio waliotufikisha hapa tulipo. Watanzania tuwe makini katika kufanya maamuzi yetu.
 
Ulitaka ampge tafu membe au ni makongoro. ...rais wetu ni Lowasa kuptia chama chochote

EL ni rais wa mafisadi na vibaraka wao kama wewe. Rais wa watanzania atatoka muungano wa UKAWA.
 
Wewe joka la mdmu ulitaka chanel ten wa mpgie debe baba yako ....chanel ten ni mali bnafs kama unataka air time kalipie matangazo utangazwena mgombea wako wa watu 20

tuliza ASHKI zako wewe mtoto wa kike. fisadi lowassa hupewa airtime ya kutosha wakati wa taarifa ya habari sio kipindi anajitangaza kwa kulipia.
 
Nchi imehauzwa kwa mafisadi tayari,sasa wanataka kumalizia biashara wampe FISADI MSAIDIZI MKUU
 

ni kweli kabisa mkuu. utakuta watu wanashobokea mafisadi bila aibu mpaka unashangaa...utadhani vichwa vyao vimejaa konokono badala ya ubongo. halafu hizi shule za kata za CCM zimechangia sana kuDILUTE ubongo wa watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Siku Lowasa jina lake likikatwa ndiyo atajua kuwa kumbe yeye siyo marufu hata kidogo bali ni pesa ndiyo zinamfanya aseme kitu.
 

usiwe na shaka mkuu. hakuna fisadi hata mmoja atakayeingia ikulu mwaka huu. wananchi tumejipanga kujiandikisha BVR na kupiga kura kuwaondoa magamba madarakani. hata watambike safari hii lazima wang'oke.
 
ivi mkuu wimbo wa Diamond na wa msanii anayeitwa mkude wa huko matombo morogoro zinaweza kupata airtime sawa kwn tv?

Una maana gani mkuu? unamfananisha lowassa na diamond kifisadi au kiaje?
 
sijaona hoja hapo zaidi ya hisia zilizobeba chuki dhidi ya watu. kajipange kwa kweli kwani nimejikuta naona aibu hata kukwambia kuwa unazidi kuchanganyikiwa kadiri siku zinavyozidi kwenda

mkuu, utaonaje hoja wakati una ASHKI za kifisadi? katinduliwe kwanza uondoe ashki ndipo uje uchangie. usijitie upofu halafu ukategemea kuona.
 
Kampeni za Urais hazijaanza magwanda mnahaha!

Hiyo ni bashraf tu, mziki kamili bado.

mafisadi wa CCM hawana nafasi ya kuingia ikulu mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
mafisadi wa CCM hawana nafasi ya kuingia ikulu mwaka huu.

Nyinyi kazaneni na CCM wenzenu wanapuyanga, Ikulu hiyooooooooo, nani katika ya wanaogombea CCM?

Hicho ni kizungumkuti mlichowekewa na Kinana.
 
Nyinyi kazaneni na CCM wenzenu wanapuyanga, Ikulu hiyooooooooo, nani katika ya wanaogombea CCM?

Hicho ni kizungumkuti mlichowekewa na Kinana.

kinana anahusikaje na MAFISADI bi mkubwa?
 
nchi hii imefika hapa kwa sababu ya ufisadi wa CCM lakini bado kuna wapumbaf humu wanawaunga mkono mafisadi papa!
 
Last edited by a moderator:
Niwakumbishe tuu Lowasa, rostam, karamagi. Ni miongoni mwa walio play part kubwa sana kikwete kuingia madarakani. Tusejeme kuhusu hili? Hivi ni nani msafi ndani ya CCM? Mitambo ya Richmond tuliiponda sana but rais kikwete na Obama wakaisafisha na imekuwa bomba sana but lowasa bado mchafu. This is poor mind from poor poor
 
tpaul acha uzushi wa kipumbavu. kwanza Rostam aziz hamiliki channel ten bali inamilikiwa na dewji's lakini pili ni ukweli kwamba team lowassa tumeamua kwa umoja wetu kumchukua ripota wa channel ten arusha na kuzunguka naye ili aweze kuturushia taarifa zetu kama wengine walivyochukua waandishi na kuzunguka nao. usijaribu kuwapotosha wananchi kwa uongo usio na pesa nane
tpaul
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…