Rostam Aziz amekuja kumharibia Lowasa badala ya kumjenga

Rostam Aziz amekuja kumharibia Lowasa badala ya kumjenga

yeyoyeyo atakayepitishwa na magamba hatafurukuta kwa mgombea wa UKAWA.
Kwani UKAWA mna mgombea urais nyie? Naona mnahangaika tu mara kwa Padre Mzinifu mara kwa Sheikh bwabwa almradi mnatweta tu
 
yeyoyeyo atakayepitishwa na magamba hatafurukuta kwa mgombea wa UKAWA.
Mmmmmm, CCM ina hazina ya watu wengi tu. Mimi naamini maombi makubwa ya UKAWA ni CCM ifanye makosa ya kumpitisha Lowassa ili iwe rahisi kwao, maneno yanayoenezwa mitaani kuwa kiboko ya UKAWA ni LOWASSA yanaenezwa na wana UKAWA wenyewe ili kuwapotosha CCM waingie mkenge.
 
Kwani UKAWA mna mgombea urais nyie? Naona mnahangaika tu mara kwa Padre Mzinifu mara kwa Sheikh bwabwa almradi mnatweta tu
MKUU, UKAWA achana nao, hawana jipya matokeo ya Serikali za mitaa ukiyajumlisha ya NCCR, CUF na CHADEMA hata hawafikii nusu ya ushindi wa CCM, halafu muungano wa UKAWA ni muungano wa viongozi tu wanachama wao hawajui lolote kuhusu Muungano huo.
 
Mkuu Lizaboni kinacho fanyika sasahvi kwenye siasa ni biashara kubwa ,urais imekua sio kutumikia tena wananchi bali ni biashara tena biashara isiyo na hasara na yenye uhakika wa faida kubwa. Iwe Rostam, iwe apson, iwe Chenge joka kubwa lenye makengeza ,yoyote atakayejiunga na kambi ya Lowasa itakua kwa ajili ya kuchuma pesa tu.

Hao wote uliowataja wanaongoza magenge makubwa ya wafanya biashaara wa ndani na nje ya nchi wanchotaka wao ni kimoja tu Lowasa ashinde kwa namna yoyote ile hata kwa kumtoa Kikwete kesho wanacho taka wao ni kupora rasilimali za Watanzania. Watanzania na tuombe Mungu kikombe hiki kituepuke.
Hakuna rais tajiri Afrika kama Jakaya Kikwete
 
Weledi unaozungumzwa hapa ni wa kupanga mikakati. Si vinginevyo. Kumbuka Apson anampigania Lowasa kwa vile ameahidiwa kupewa kazi maalum ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa. Rostam anamsaidia Lowasa kwa lengo la kutunyonya Watanzania. Hizi ni kambi mbili zenye malengo tofauti kwa Lowasa
Najaribu kutabiri kizingiti cha utamu wa madaraka nashindwa sipati jibu, hivi mtu anawezaje kustaaru cheo kikubwa kama cha Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa halafu akawa na uchu wa kurudia cheo hicho kama huyo Apson? Hizi tamaa ni za nini?
 
Mkuu hii kauli ni ya kwako au kuna mtu kaiba pw yako!? Kama ni wewe basi hongera kwa haya mabadiliko makubwa ya kuweza kuandika kauli kama hii.

Bora wewe Mkuu. Lakini kusubiri miaka 15 huku tukinyonywa na hawa mafisadi papa hakika ni maumivu makali sana
 
Sijawahi kufikiria kujiunga na Team Lowasa. Sitarajii kufanya hivyo. Kwangu mafisadi ni wabaya kuliko hata ya magaidi

Kwa mfano Lowasa akipita kura za maoni, hautampigia campagn??
 
kitukuu_
Hakika inasikitisha sana Mkuu. Cha kushangaza ni kwamba kuna Watanzania tena wenye akili timamu wanashabikia vitendo hivi vya kupora wazi wazi rasilimali zetu.

Hivi naota au ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Historia itatucheka Watanzania kwa kushabikia wezi waingie ikulu,ni mwaka wa fedheha kwa WaTZ kuchagua kiongozi mwizi
 
Hivyo ndivyo akili yako Mkurugenzi mzima wa idara ya Habari na maelezo ilipogotea. Ndio maana idara unayoiongoza imepoteza dira na mwelekeo kutokana na kuongozwa na Mburula kama ww. Hiyo ndio tatizo la vyeo vya kitandani unatoka "kugongwa" na Member hata haujanawa unapewa cheo.

ufirst lady unakufanya uwe kichaa mtatoboana macho magamba eeh.
 
Hapana wakuu. Ni mie mwenyewe na nimeandika haya kwa utashi wangu na ndio uhalisia. Watu wanapiga mabilioni ya EPA, RICHMOND ESCROW nk then utegemee wananchi wa kawaida wawe na maisha bora? Haiwezekani na haitakuja kuwa hivyo. Siku zote bepari kama Rostam Aziz na wengineo wanawaza jinsi ya kutunyonya watanzania. Ujinga mtupu. Mbaya zaidi kinapakaziwa chama chetu na serikali yetu kumbe kuna manyang'au machache yamejikusanya na yanapiga deal hizi kinyemela

Hebu nikuwahi kabla hujachanganyikiwa tena. Jibu maswali haya:
Unamkubali dokta slaa kama mkombozi wa taifa hili?
Unakiri hadharani kuwa ccm ni mifisadi na hawafai katika taifa hili?
Unakubali kuwa umevurugwa?
 
Kichafu huwa hakichafuliwi. Ni sawa na kinyesi ama mkojo. Lowasa ni mchafu hivyo inashangaza kusikia kuwa anachafuliwa

good argumentantation, i will act as an umpire in this game
 
Hapana wakuu. Ni mie mwenyewe na nimeandika haya kwa utashi wangu na ndio uhalisia. Watu wanapiga mabilioni ya EPA, RICHMOND ESCROW nk then utegemee wananchi wa kawaida wawe na maisha bora? Haiwezekani na haitakuja kuwa hivyo. Siku zote bepari kama Rostam Aziz na wengineo wanawaza jinsi ya kutunyonya watanzania. Ujinga mtupu. Mbaya zaidi kinapakaziwa chama chetu na serikali yetu kumbe kuna manyang'au machache yamejikusanya na yanapiga deal hizi kinyemela
we must crack down CCM as a whole and not poor Lowassa who has been natured by this complex group of gangs
 
nitajie huyo ambae sie fisadi ndani ya CCM

Kiongozi wa Tanzania si lazima atoke CCM. Lakini kwa sababu CCM pia ni ya Watanzania wana dhima ya kuunyosha uma kwamba japo wengi wao ni wachafu lakini ni jambo la aibu kuuanika uchafu wako hadharani. Lowasa amechafuka mno na hasafishiki hata kwa kuchunwa ngozi. Ni kirusi, na dawa pekee ni kuchoma moto na machipukizi yake yote.

Hata kama CCM hawafai lakini kuna majina ambayo hayajatajwa hadharani kwa uchafu uliokithili.

Salim Ahmed Salim, Mwakyembe, to mention but few, lakini pia tunapotafuta Rais huwa tunakosea mara zote huwa tunawaangalia waliopo ktk nafasi za uwaziri...
 
kitukuu_
Hakika inasikitisha sana Mkuu. Cha kushangaza ni kwamba kuna Watanzania tena wenye akili timamu wanashabikia vitendo hivi vya kupora wazi wazi rasilimali zetu.
Tutakuwa watu wa ajabu sana kama tutachagua viongozi wanaotafuta uongozi kwa kununua watu.
 
Wewe ni mgonjwa, JK hata mtoto wa juzi tu, Nkurunzinza anamzidi kwa mali.

Mkuu nilisikia tetesi kuwa Jakaya ndiye Rais aliyehakikisha mawaziri wanasaini mikataba mingi kuliko Rais yeyote Afrika. The worse ni kuwa 90% ya mikataba hiyo ni kilio kwa watized. Mikataba mingine (michache) amesaini mwenyewe lakini ni changa la macho. Jamaa atakuwa ma mpunga mnene sana
 
Back
Top Bottom