Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,231
- 9,552
Weledi unaozungumzwa hapa ni wa kupanga mikakati. Si vinginevyo. Kumbuka Apson anampigania Lowasa kwa vile ameahidiwa kupewa kazi maalum ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa. Rostam anamsaidia Lowasa kwa lengo la kutunyonya Watanzania. Hizi ni kambi mbili zenye malengo tofauti kwa Lowasa
Haya unayoyaandika leo yanatoka moyoni mwako kabisa au ni kwakuwa umekosa namba ndani ya Team Lowassa?.