Angalau akina NAPE watapata pa kupumulia.mida hii anatoa hotuba ya kutangaza kuachia nyadhifa zote
Post ya 70 bado tetesi?????????????????????????????????????????????
Anajivua hizo nyadhifa saa ngapi??
mida hii anatoa hotuba ya kutangaza kuachia nyadhifa zote
Wanajamvi:
Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.
Huyu jamaa tumemlea sana, na aombe mungu raia wa tanzania ni wapenda amani na tumemvumilia tumechoka. Sasa kesha taifisha kile alichokitaka sasa anataka kuondoka. Hatuhitaji hata kusikia sauti yake akatangazie kujiuzulu huko kwao uarabuni. Sasa hii fimbo ya huyu jamaa imetushikisha adabu ni afadhali angekuwa mtanzania mwenzetu angesaidia hata watanzania wawili watatu. Jamaa anaondoka na kitita chote alichovuna hapa Tz anakwenda kuwanufaisha waliopo mbali sisi tunabaki tukitupiana maneno ya umasikini bila jibu. Nenda, nenda, nenda baba.....! lakini kumbuka ni mali ya watu masikini. Waliokubeba ni wachache walioamua kuiuza nchi popote utakapo kuwa dhamira itakusuta tu kwa taifa hili masikini.Hii ya kuachia nyadhifa haitoshi baada ya hapa inabidi akamatwe awekwe ndani na kufunguliwa mashataka mana makosa yake yapo wazi,chama gani hiki kimejaa Mijizi tuu,hivi nyie mnaoshabikia hiki hamuoni haya au tu kwa vile chama cha Magamba kinawaweka mjini? hebu kuweni tujadilipo mambo yenye manufaa kwa waTz
Wanajamvi:
Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.
HTML:[QUOTE]Mkuu, wewe ndio umeleta hii habari jamvini, halafu unaomba taarifa zaidi kutoka kwetu[/QUOTE]
mm nimesikia kama tetesi ndio maana nahitaji kujua zaidi!!