Anaweza kufanya hivo ili kuilinda CCM kama Lowasa alivyojiuzuru Uwaziri Mkuu kuilinda serikali isianguke kabisa. RA hana atakachopoteza kwa kufanya hivo. Kwanza akiwa "benchi" anautazama mchezo wa 2015 kwa vizuri zaidi.labda anajifukuzisha mwenyewe chama kwenye chama...