Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Habari zilizonifikia kutoka kwa watu ninaowaamini ni zinasema Rostam Aziz Mbunge wa Igunga anajivua gamba na tayari ameshaita waandishi wa Habari mjini Igunga kwa lengo la kutangaza azma yake.
Wenye updates wamwage hapa
 
Hii ndiyo HABARI SAHIHI. Naungana nayo kwa asilimia 100
 
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu

Wakuu ndo hayo tu
Umeongea nae vipi?Kwa simu?Tupe namba tumuulize wenyewe.
 
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu

Wakuu ndo hayo tu

Dhu!!...................................... Kumbe kuna wana JF ambao wako karibu na RA!!!
 
Pamoja na utetezi wake, bado haimsaidii kwani hata mwananchi wa kawaida anamjua RA alivyochafuka kwa UFISADI, bora ajivue gamba ili kama kweli ana nia njema na chama chake, CCM na Tanzania kwa ujumla.
WaTanzania tumechoka na tabia ya viongozi kujisafisha kwa lengo la kubakia madarakani kama miungu watu...Lol!
 
Ingetakiwa hiyo tetesi ikawe kweli,Magamba wakubwa! Hata Mkuu wao wa chama akiachia ngazi siyo mbaya tu.
 
Nijuavyo mimi RA ana nyadhifa 2 ndani ya chama: Ni mbunge na Mjumbe wa NEC. sasa kama anajivua nyadhifa zote maana yake na ubunge anautema?. Hebu mleta mada atufafanulie hapo.

Kwa sababu mantiki ya kujivua gamba ni kujitoa kabisa kwenye chama kwa maana ya kurudisha kadi kitendo ambacho automatically kinamkosesha sifa ya kuendelea kuwa mbunge.
 
Anajua mwenzake alipojiuzuru Uwaziri Mkuu madhila, kejeli na bezo nyingi alizozipata. Hakuna wa kujiuzuru ndani ya CCM na serikali yake angalau kwenye utawala huu wa JK.
 
Mwenyewe RA yupo dar na demu wake wanakula raha, waandishi na kamera zao wapo ofisi za ccm Igunga wanapiga miayo tu
 
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu

Wakuu ndo hayo tu

Ni vigumu kukuamini..Just paste his no here kama umeongea nae kwa simu..otherwise uthibitisho?maana kila mtu anasema sasa!!
 
Hiyo bado haitamtakasa. Haachie na ubunge.

Nafikiri hahitaji kutakasika kama sijakosea, wamemtumia kama dawa ya penzi na amekwisha chafuka anatupwa wengi wanatumiwa sana kama dawa ya penzi. Hivi yule aliyemshitaki Dr. wa ukweli kuwa amemwibia mke yupo wapi vile? tusubiri dawa nyingine ya penzi 2015.
 
Back
Top Bottom