Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

akishajivua ubunge na nafasi mbali mbali katika nec... atuambie kwa nini ameamua kujivua hizo nafasi
 
Kama harudishi kadi hakuna kitu hapo

Huyu ni king maker wa JK atafanya kazi akiwa na kadi
 
Tunahitaji aturudishie fedha zetu kwa njia ya mahakama. Avue asijivue, ipo siku tutamvua! Na tusipowavua wote kwa pamoja basi tutawagonga vichwa wafe kwa mkupuo!
 
Confirmed: Huu ni uzushi tena mkubwa sana. Rostam et al wamekutana na JK jana Serengeti na wameendelea kuweka mambo yao sawa. Ndoa ya mapacha na Jk iko waswahili wanasema MSWANO!

jana haikuwezekana maana mzee ndo alikuwa anafika.....wataonana leo bilila lodge kempinsk



006980-15-Exterior_View-twilight.jpg
 
Arudishe fedha zetu alizotuibia kupitia mradi wa Kagoda, Na hasara ilisababishwa Upuuzi wa Dowans.
Hizo zingine ni porojo na ukenge wa ccm. . !
 
Nani kakwambia CDM wanakurupuka??
Leo umeshasahau wanavyokurupuka kuta loop holes? Kumbuka Arusha, mara maandamano wanapinga Meya mpaka watu wamekufa, wameumia, wameharibu mali zao, mara ghafla muafaka. Kama si kukurupuka ni nini huko?
 
Arudishe fedha zetu alizotuibia kupitia mradi wa Kagoda, Na hasara ilisababishwa Upuuzi wa Dowans.
Hizo zingine ni porojo na ukenge wa ccm. . !

Mkuu huyu jamaa ni king maker wa JK usitegemee kwamba kuna kitu hapa, ni mazingaombwe
 
Back
Top Bottom