Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Demokrasia hailazimishi serikali iliyoingia madarakani kumaliza kipindi chake,demokrasia hiyo hiyo inatoa mwanya kwa serikali iliyoko madarakani kuondolewa kabla ya muda wake.CCM wana miaka minne madarakani lakini wawe makini sana kuhakikisha angalao miaka iliyosalia wanaimaliza
 
Hatuwezi kumwomba huyu jamaa atudokeze change ya kagoda aliyomrudishia jk kupitia wakala wake Manji ilikuwa kiasi gani. Maana Jk nae kala ngumu kana kwamba hakijarudi kitu. Yaani hapa tulichezewa mchezo wa dhahabu iliyokwapuliwa kununuliwa kwa pesa feki(bandia)
.
 
Chips are falling all over the place...
papers_hacking_1944875a.jpg
 
Asante dr Slaa. Kazi ya kwanza umeikamilisha. Watawale kutoka ikulu we unatawala kutoka kwa wananchi. Chenge na el wamekushinda au bado uko umeinama unawatungia sheria? Ng'oa majambazi wote tuijenge nchi. Dah mzee Ndesa pesa noma! Eti mlisema mkitaka nchi isitawalike mnaweza! Nimekubali. Sawazisha List of Shame yote. Asante dr wa ukweli.
 
kama alivyosema mwenyewe amejiuzulu kwa sababu kashfa inamharibia biashara zake za kimataifa na si kwababu za uwajibikaji wa dhati. Maruhani wakubwa na akamatwe na kusweka rumande kutokana na ufedhuli mkubwa aliofanya

Janja ya nyoka ni njia ya kukwepa makubwa zaidi ila ccm kifo chenu nacho chaja kwa staili hiyohiyo ni suala la muda tu

CDM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kaeni mkao wa Igunga!!!
 
Kama JF huiamini, tafuta namba ya ROstam mpigie.
 
Rostam kukimbia nchi? Maana Protection ya Magamba wenzie naona ameanza kuikimbia!
 
HAKIKA TIME WILL TELL !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

WHAT GOES AROUND COMES AROUND,

Hofu yangu ni matusi aliyoyatoa kwenye hotuba yake ya kuachia ngazi,moto ndio kauwasha,amesema anaachana na SIASA UCHWALA anakwenda kwenye BIASHARA zake waliko washirika wake wa KIBIASHARA.


Mama yangu eeeeeeeeeeeeh!!!!!!!, nimeona kashika mtungi wa gesi na kopo la petrol halafu,aliosema anawaachia siasa UCHWALA wameshika Kiberiti cha GESI na walivyo na USONGO wa KUAMBIWA wanaendesha SISA UCHWALA WANATAKA KUMTHIBITISHIA KUWA AZIKUWA SI-A-SA UCHWALA BALI SIASA ZA UJENZI WA TAIFA KWA MISINGI YA HAKI.

WATAMFILISI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.NI HAFADHALI ASINGEWATUKANA IKAWA AJALI YA KISIASA,KAWASHIWA MOTO WATAMKOKEA KUNI AOTE,NA KUMBE NI MASAI KAINGIA DISCO.

HIZO ANAZOZIITA BIASHARA WALIMPATIA HAO HAO ALIOWAITA WANAENDESHA SIASA UCHWALA.JAMANI SIKIO LA KUFA ALISIKII DAWA.AMELIKOLOGA!!!!!!!!!!!!!
 
Nitawaeleza wototo na wajukuu kuwa tulikua na Tanzania tulikua na mafisadi nguri aijapata tokea,nao ni Mapacha watatu(RACHEL) ili wajue asili ya umasikin wa nchi.
 
FaizaFoxy mambo!!!

Umepewa ngapi kuwatetea majangiri wa nchi hii...
 
Hongera sana fisadi wetu papa kwa uamuzi wa busara uliochukua. Ila umechukua muda mrefu mno kufanya maamuzi haya maana umechezea sana uchumi wa Tanzania hasa upande wa kodi za wanyonge ambao wangezitumia hata kujipatia huduma za afya. Je sasa utaendelea kuwa humu Tanzania au utahamia Kenya au utarudi kwenu Iran? Ngoja nikavute pumzi ili niweze kuandika makala ndefu ya shukrani nikiquote yale yote ambayo umelitendea Taifa hili bila kujali kwa kuwa una uraia zaidi ya mmoja?!!! Ungekuwa mzalendo na ambaye hana pa kukimbilia je ungetutendea uliyotutendea?
 
Hata ivo amechelewa sana, alitakiwa kufanya ivo miaka 6 ilopita na sheria kuchukua mkondo!
 
CCM lazima wanaumwa vichwa. Kuondoka kwa RA ndani ya CCM ni pigo kubwa sana. Mkoa wa Tabora wote utaangukia mikononi wa wapinzani, kwani kipingamizi kikubwa alikuwa ni RA. Huku sasa ni kujivua ngamba mpaka unatoka damu, na haitakiwi kuwa hivi. Hongera RA
 
hapo chini amesema ameachia na ubunge


Msukumo huo si mwingine bali ni ule wa kuamua kuachia nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama, nikianzia na ile ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa nikiuwakilisha Mkoa wa Tabora na hii ya ubunge wa Igunga ambazo kama si kwa baraka za chama changu nisingelikuwa nazo.
 
Back
Top Bottom