Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,363
Enzi za usalama wa Taifa, ule usalama wa taifa kweli kweli wa Mwl Nyerere, huyu leo angerudishwa dsm chini ya ulinzi mkali na kuwekwa kizuizini hadi serikali ipate mali zote alizokwiba!
Lakini kwa usalama wa taifa wa sasa hivi ambao kiukweli ni usalama wa mafisadi, mtasikia anapongezwa!
Lakini kwa usalama wa taifa wa sasa hivi ambao kiukweli ni usalama wa mafisadi, mtasikia anapongezwa!