Rostam acha siasa - Cheyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam acha siasa - Cheyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapotolo, Mar 3, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa UDP amemshauri bwana Rostam kuachana na siasa na kufanya biashara kwani upepo wa kisiasa nchini kwa upande wake ni mbaya mno, amemshangaa kukaa kimya licha ya tuhuma lukuki zinazomwandama.

  Source: Mlimani TV
  Maoni yangu
  Namuunga mkono Cheyo lakini hata akiacha siasa arudishe pesa zote alizokwiba from his dirty deals na ajisalimishe mwenyewe Polisi.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  SIo aache siasa tu tumfikishe na mahakamani arudishe mali zetu alizotupora
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Siasa ndo mdhamini wa utajiri wake. Hata kama ni mimi siachi.
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama mkakati wa kumsafisha RA vile?
   
 5. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mwenyekiti wa UDP taifa bwana John cheyo amemtaka rais kikwete achukue hatua za haraka dhidi ya mbunge wa igunga mhe. Rostam aziz ili ainusuru serikal... Chanzo: radio one
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kushitakiwa ndio jawabu. Cheyo naye busara iko wapi?
   
 7. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Akiacha siasa atakuwa anajiua mwenyewe. Maana siasa inampa kinga.
   
 8. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ITV nao wametangaza
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kinachompa kiburi ra ni hela na syndicate alotengeneza ndani ya ccm na watendaji wa serikali. Sio ubunge wake. Sikubaliani na cheyo. RA anatakiwa kunyongwa tu.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Anasema angekuwa yeye angemwambia "OUT"!..kwa maana kwamba aondoke kwenye chama mara moja!
   
 11. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Amenukuliwa na ITV akisema hatuwezi kuondoa serikali madarakani kwa njia ya Tunisia, Misri, na Libya. Kwamba wanasiasa wasihutubie wafuasi wao kukiuka katiba kwa kuiondoa serikali madarakani kwa nguvu.

  My take:
  Inaonekana ni mkakati maalumu ulioanzishwa jana na Wasira kwenye kipindi maalum TBC. Nashindwa kuelewa ni vipi chama cha upinzani watadhurika kwa serikali kuondolewa madarakani na wananchi. Tuna vyama viwili tu vya siasa kwa sasa tz.
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mkulu JK hawezi kumwambia RA out vinginevyo na yeye atakuwa out kwa kuwa Rostam ndio amemweka magogoni from hizo fedha chafu.
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Maneno ya mtu anayejua kuwa hana ubavu wa ku'compete na cdm!...wivu fulani vile!
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Si kweli, kwa nafasi ambayo yeye alimteua (mweka hazina CCM) alimtoa tena kwa aibu kubwa, lakini ninyi wananchi mmemchagua kuwa mbunge wenu mlitaka afute ubunge wake? kwa nini mnaruka wajibu wenu? kwa vyeo vyote vya Rostam wananchi wakitaka wanaweza kumtoa.
   
 15. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kimsingi RA ameshaandaa exit plan, kwani sioni kama tutakuwanaye nchini beyond 2014. Uwezekano ni kwamba ataelekea nchi nyingine ambayo yeye ni mmiliki wa pasipoti ya pili ukiacha hii ya TZ
   
 16. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Si vingine, wamewakosoa CDM kwa mbinu zao za kibabaishaji kutaka kuleta machafuko nchini. Bravo viongozi wetu
   
 17. c

  carefree JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Style yao imetulia kila mmoja karusha madongo kivyakevyake ila hawakubaliani na maandamano .
  My take
  Lyatonga ni lini ameacha kuamini katika maandamano miaka ya 90 umaarufu ulipokuwa juu aliifanya sana hata bwana mapesa sasa hizi kauli zao zimekaa kizushi au kujikomba kwa ccm ambayo ndiyo walengwa wa maandamano ya cdm
   
 18. T

  Tewe JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  hawa sio wapinzani ila ni vibaraka wa ccm, wanapotosha ukweli ili wananchi wachukie upinzani, CHADEMA KAZA BUTI
   
 19. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mh Nahisi nimepotea njia
   
 20. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tena kesho tuone who is next in the payroll ya kumtetea JK
   
Loading...