Si kweli, kwa nafasi ambayo yeye alimteua (mweka hazina CCM) alimtoa tena kwa aibu kubwa, lakini ninyi wananchi mmemchagua kuwa mbunge wenu mlitaka afute ubunge wake? kwa nini mnaruka wajibu wenu? kwa vyeo vyote vya Rostam wananchi wakitaka wanaweza kumtoa.
Hahaa! Mkuu ndo maana waswahili wanasema ukiolewa shurti.......Dah nilipomsikia. Cheyo na Lyatonga kuhusu CDM kweli si hasa ni kazi! Lol
Mmmh! Eti nyie mkamrudisha, nyie mnakwepa wajibu wenu. Nyie ni akina nani?
Haya nyie ccm kwa nini mliruhusu agombee ubunge? Kwani kamati yenu ya wilaya ilimpa marks ngapi?
Pathetic.
Si vingine, wamewakosoa CDM kwa mbinu zao za kibabaishaji kutaka kuleta machafuko nchini. Bravo viongozi wetu
ndo kwaaanza umejiunga halafu unaanza kupotea njia mapema hivo....................pambaaaaf sako hebu rudi faceboook humu nadhani hakukufaiMh Nahisi nimepotea njia
Tusubiri tena kesho tuone who is next in the payroll ya kumtetea JK
akiacha siasa atakuwa anajiua mwenyewe. Maana siasa inampa kinga.
ndo kwaaanza umejiunga halafu unaanza kupotea njia mapema hivo....................pambaaaaf sako hebu rudi faceboook humu nadhani hakukufai
Mmmh! Eti nyie mkamrudisha, nyie mnakwepa wajibu wenu. Nyie ni akina nani?
Haya nyie ccm kwa nini mliruhusu agombee ubunge? Kwani kamati yenu ya wilaya ilimpa marks ngapi?
Pathetic.
Ataelekea kwao Iran, Huyo Momose kawa CCMb siku nyingi hata kwenye capaign 2010 alikuwa anamuunga mkono JKKimsingi RA ameshaandaa exit plan, kwani sioni kama tutakuwanaye nchini beyond 2014. Uwezekano ni kwamba ataelekea nchi nyingine ambayo yeye ni mmiliki wa pasipoti ya pili ukiacha hii ya TZ
Kimsingi RA ameshaandaa exit plan, kwani sioni kama tutakuwanaye nchini beyond 2014. Uwezekano ni kwamba ataelekea nchi nyingine ambayo yeye ni mmiliki wa pasipoti ya pili ukiacha hii ya TZ
Mwenyekiti wa UDP amemshauri bwana Rostam kuachana na siasa na kufanya biashara kwani upepo wa kisiasa nchini kwa upande wake ni mbaya mno, amemshangaa kukaa kimya licha ya tuhuma lukuki zinazomwandama.
Source: Mlimani TV
Maoni yangu
Namuunga mkono Cheyo lakini hata akiacha siasa arudishe pesa zote alizokwiba from his dirty deals na ajisalimishe mwenyewe Polisi.