meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Eti chuo cha Afrika graduate.
Chuo cha online!
Chuo cha online!
Eti mziki wa injili? Ni bolingo!!! Nani kakwambia YESU anakatiwa viuno?? Msiige dunia bali dunia iwaige nyie.
Shalom shalom
Salama salama !????
Eti mziki wa injili? Ni bolingo!!! Nani kakwambia YESU anakatiwa viuno?? Msiige dunia bali dunia iwaige nyie.
Ukoka kwanza upate Elimu ya hilo swali maalim
Sema Hongera Rose Muhando. I have said this before and I will repeat again for those who do not want to understand. All proper nouns begin with a capital letter. A person's name is a proper noun. Sema Asante Mwaalim
hilo neno halina uhusiano na kuokoka ! hao wenye neno ndo waliomuua Yesu !.........na hawalimaanishi hilo neno kama lilivyo, ndo wachochea fitna wakuu !
Neno hilo maana yake ni 'salama' !
ROSE MUHANDO ATUNUKIWA STASHAHADA SIERRA LEONE.Africa Graduate cha nchini Sierra Leone katika hafla iliyofanyika mjini Moshi hapa mwishoni mwa wiki.
![]()
Malikia wa mzuiki wa Injili Tanzania Rose Muhando ametunukiwa Stashahada na cheti cha kutambua mchango wake katika kueneza amani na mshikamano kupitia nyimbo za injili.Stashahada hiyo alitunukiwa na Chuo Kikuu cha
Akimtunuku Stashahada hiyo mkuu wa chuo cha Afrika Graduate,Dr,Timothy Kazembe,alisema chuo hicho baada ya kurizika na kazi za mwimbaji huyo katika muziki hasa muziki wake wa injili,ambao umekuwa ni chachu ya ukombozi kwa watu wengi.
Kwani nani alisema mziki wa injili hutakiwi kukata viuno?
Uoga wako ndiyo umasikini wako mkuu!
Kwani nani alisema mziki wa injili hutakiwi kukata viuno?
Uoga wako ndiyo umasikini wako mkuu!
Nimekupa maana ya neno Bolingo lenyewe alafu si muwe mnafocus kwenye ujumbe basi sasa nyie mmekazana kucriticise tu utafikiri yeye ndio kaanza kucheza na Mfalme Daudi mumuhukumu.
Wacha watu wamchezee YESU kama ni viungo na nguvu kawapa yeye wasio navyo wanatamani wangekuwa navyo wampe MUNGU sifa na utukufu cos ndivyo Bible inavyosema nyie wengine mnapinga tu.
ila sishangai kwani ndio athari ya mapokeo ya madhehebu tofauti.
Yesu ni biashara, ndio maana Mzee wa Upako anazikusanya Altareni !
Mfamle Daud aliomba msamaha wewe! Yesu hachezewi,sema unamchezea shetani ila unafunika uovu wako kwa kumtumia YESU vibaya.MUNGU anakuona wala hata kuacha.
Kumbe ni salama sasa mimi nilidhani nitusi" je Takfiri ina maana gani kwa Lugha ya allah?
Sema Hongera Rose Muhando. I have said this before and I will repeat again for those who do not want to understand. All proper nouns begin with a capital letter. A person's name is a proper noun. Sema Asante Mwaalim