Rose Muhando atunukiwa stashahada Sierra Leone

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,543
ROSE MUHANDO ATUNUKIWA STASHAHADA SIERRA LEONE.

th

Malikia wa mzuiki wa Injili Tanzania Rose Muhando ametunukiwa Stashahada na cheti cha kutambua mchango wake katika kueneza amani na mshikamano kupitia nyimbo za injili.Stashahada hiyo alitunukiwa na Chuo Kikuu cha
Africa Graduate cha nchini Sierra Leone katika hafla iliyofanyika mjini Moshi hapa mwishoni mwa wiki.
Akimtunuku Stashahada hiyo mkuu wa chuo cha Afrika Graduate,Dr,Timothy Kazembe,alisema chuo hicho baada ya kurizika na kazi za mwimbaji huyo katika muziki hasa muziki wake wa injili,ambao umekuwa ni chachu ya ukombozi kwa watu wengi.
 
Eti mziki wa injili? Ni bolingo!!! Nani kakwambia YESU anakatiwa viuno?? Msiige dunia bali dunia iwaige nyie.
 
Rose Muhando angekuwa na management ya maana tokea akianza Muziki angekuwa Bilionea sasa japo hata saivi anayo hela.
 
Eti mziki wa injili? Ni bolingo!!! Nani kakwambia YESU anakatiwa viuno?? Msiige dunia bali dunia iwaige nyie.

Kwani nani alisema mziki wa injili hutakiwi kukata viuno?
Uoga wako ndiyo umasikini wako mkuu!
 
Eti mziki wa injili? Ni bolingo!!! Nani kakwambia YESU anakatiwa viuno?? Msiige dunia bali dunia iwaige nyie.
Sasa kama mziki wa injili siyo BOLINGO ni nini?

BOLINGO maana yake ni UPENDO kwa Kilingala.
 
Mhhh ongera rose mhando

Sema Hongera Rose Muhando. I have said this before and I will repeat again for those who do not want to understand. All proper nouns begin with a capital letter. A person's name is a proper noun. Sema Asante Mwaalim
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Sema Hongera Rose Muhando. I have said this before and I will repeat again for those who do not want to understand. All proper nouns begin with a capital letter. A person's name is a proper noun. Sema Asante Mwaalim
Hahahaaa baambie baelezee.
 
Hongera sana Rose,ni mmoja kati ya wanamuziki wa nyimbo za dini ambae hachuji!na ni mwanamuziki ambae nyimbo zake popote zinapigwa,iwe ktk mikusanyiko ya kidini,msibani na hata katika sehemu za starehe kama bar au ktk sherehe mbalimbali!
 
Kwahiyo Roze mhando na Koffi olomide lao ni moja.Wote wanamfurahisha shetani.
Nimekupa maana ya neno Bolingo lenyewe alafu si muwe mnafocus kwenye ujumbe basi sasa nyie mmekazana kucriticise tu utafikiri yeye ndio kaanza kucheza na Mfalme Daudi mumuhukumu.

Wacha watu wamchezee YESU kama ni viungo na nguvu kawapa yeye wasio navyo wanatamani wangekuwa navyo wampe MUNGU sifa na utukufu cos ndivyo Bible inavyosema nyie wengine mnapinga tu.

ila sishangai kwani ndio athari ya mapokeo ya madhehebu tofauti.
 
Duh ina maana kwa kuwa mungu kawapa makalio basi kutingisha ruksa?..kama ndio hivyo mi naona wamuongezee na phd ili watuonyeshee na ch.pi kabisa tuburudishe bafsi maana mauno pekee hayatoshi
 
Linafanyiwa kazi kama ndio akili yako inavyokutuma.
 
jk kapewa doctorate ya mezani watu mlitokwa(na bado mnatokwa) povu humu...kapewa bi muhando kila mtu mungu ni mwema.....UNAFKI MTUPU
 
Nimekupa maana ya neno Bolingo lenyewe alafu si muwe mnafocus kwenye ujumbe basi sasa nyie mmekazana kucriticise tu utafikiri yeye ndio kaanza kucheza na Mfalme Daudi mumuhukumu.

Wacha watu wamchezee YESU kama ni viungo na nguvu kawapa yeye wasio navyo wanatamani wangekuwa navyo wampe MUNGU sifa na utukufu cos ndivyo Bible inavyosema nyie wengine mnapinga tu.

ila sishangai kwani ndio athari ya mapokeo ya madhehebu tofauti.

........Biblos inakataza hayo wanayo yafanya !.............kasome !
 
Back
Top Bottom