Rose Migiro Kafunikwa na Halima Mdee

Rose Migiro Kafunikwa na Halima Mdee

Kwani lini nili bisha kuwa mimisi CHADEMA? Its an established fact kuwa mimi ni CHADEMA mwanzo mwisho so nashangaa wewe kusema leo nimekubali lini nilikataa? Si vyote vinga'aavyo ni dhahabu check ur facts I am more than you can think about!

- Nimesema one word kwamba sikujua kwamba wewe ni Chadema, mbona unasema maneno mengi sana mkuu? ha! ha! ha! I love this game!

le mutuz
 
  • Thanks
Reactions: Ame
- Mambo mengine kabla ya kuandika muwe mnafikiri japo for a minute, tunaokuja kukusoma ni wazima au tumepungukiwa akili? Ok na huyu aliyeshika nafasi ya Dr. Migiro huko UN sasa hivi USA inatafuta nini nchini kwake?

le mutuz
images
Mdee VS Migiro
images

  • Le Mutuz, nani anaonekana kati ya hawa wawili Migiro na Mdee kuwa shupavu, mwazi na mwanamapinduzi?
  • Kati ya wawili hawa anaonyesha dalili akiwa rais wa Tanzania ana ubavu wa kukemea maovu kwa ushupavu?

Wengi wetu humu tumepitia walao shule za awali na sekondari ambako somo la jiografia limekuwa somo la lazima katika mfumo wa elimu wa Tanzania.

Kwa kutumia dondoo tulizojifunza katika somo la jiografia kusoma ving'amuzi vya kuzitambua picha na kuzitolea tafsiri kitaalamu, picha mbili hizi zinaleta taswira zenye kuakisi hali halisi tofauti walizo nazo hawa akida dada zetu wawili.

Action speaks louder than word. Upo William au bado hujaisoma hali halisi ya wawili hawa?

- Yaani I am lost na kinchozungumziwa hapa, Dr. Asha-Rose Migiro, ni msomi aliyeweka record za ajabu kila Shule aliyosoma kuanzia bongo mpaka Germany, ameandika vitabu kibao vya kusaidia jamii, amekuwa mbunge, ameongoza Dunia na sasa bado ni Muwakilishi wa UN Africa, na pia ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya CCM, nafasi zote hizi Halima anafanana naye kwa moja tu ya Ubunge, sasa nisichoelewa wanalinganishwa kwa vipi?

Le Mutuz
 
Kwenye red ya kwanza ungetusaidia with vivid evidence ni record zipi alizoweka Asha Rose Migiro.

Kwenye red ya pili tueleze ni cheo kipi katika structure ya uongozi UN kinachoitwa muwakilishi wa UN Africa!? hili danganyaneni katika vikao vya chimwaga Dodoma na siyo hapa JF.

Kwenye red ya tatu hakuna binadamu mwenye akili anayeweza kushangaa Migiro kuwa kiongozi wa CCM kwa sasabu ni chama cha maiti na ndiyo maana watu hawashangazwi kwa Mwigulu Nchemba kuwa Naibu katibu mkuu, na vile vile hatushangazwi kwa mtu kama wewe uliyeshindwa kulea Familia yako eti upo Jumuiya ya Wazazi CCM!! sijui ni uzazi upi unamaanishwa hapo.

Kwenye blue huwezi kumfananisha Halima Mdee na Migiro maana Migiro tangu azaliwe hajawahi kusimama kwenye Jimbo na kuomba kupigiwa kura na Wananchi huyo ni mtu wa uteuzi tu, bali Halima Mdee ni Mbunge wa Jimbo aliyepigiwa kura na Wananchi na ndiyo maana anapewa pesa za mfuko wa Jimbo. nadhani umenielewa.
 
- Yaani I am lost na kinchozungumziwa hapa, Dr. Asha-Rose Migiro, ni msomi aliyeweka record za ajabu kila Shule aliyosoma kuanzia bongo mpaka Germany, ameandika vitabu kibao vya kusaidia jamii, amekuwa mbunge, ameongoza Dunia na sasa bado ni Muwakilishi wa UN Africa, na pia ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya CCM, nafasi zote hizi Halima anafanana naye kwa moja tu ya Ubunge, sasa nisichoelewa wanalinganishwa kwa vipi?

Le Mutuz

mdee amegombania jimbo na kuchaguliwa na huyo mwingine alipewa ubunge wa chu.pi. Huoni utofauti hapo?
 
Hapo mnajichanganya tu,Halima Mdee bado sana kufikia level za Asha Rose Migiro.
 
Huya Asha Magiro sijui Migiro ndiyo nani mbona kwanza namskia leo..?
 
Ndiyo huyu mnamtumia(ga) kumuita rais kuwa ni baba MwanaASHA?
 
- Yaani I am lost na kinchozungumziwa hapa, Dr. Asha-Rose Migiro, ni msomi aliyeweka record za ajabu kila Shule aliyosoma kuanzia bongo mpaka Germany, ameandika vitabu kibao vya kusaidia jamii, amekuwa mbunge, ameongoza Dunia na sasa bado ni Muwakilishi wa UN Africa, na pia ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya CCM, nafasi zote hizi Halima anafanana naye kwa moja tu ya Ubunge, sasa nisichoelewa wanalinganishwa kwa vipi?

Le Mutuz

Hivi ni vyeo za sifa tu..twambie kama mtu binafsi amefanya nini kupambana na maadui wetu hasa rushwa ,ujinga na maradhi. Ubunge wa kuteuliwa! Twambie amepambana katika jimbo gani? Huyu ni mtu wa kudubiri na kupewa le mutuz....
 
Hivi kweli kwenye diplomatic career ya Asha-Rose Migiro, huoni mazuri yoyote aliyofanya zaidi ya yale yanayoweza kukuridhisha nafsi yako? Dude you must have some serious problems, na sijui ni vigezo au juhudi gani alivyofanya Halima Mdee ambavyo vinakufanya hadi umuweke juu zaidi ya mkeo.

UNITED NATIONS, January 24, 2012 -- While the UN in New York dodges Press questions about Secretary General Ban Ki-moon's decision to deny his Deputy Asha-Rose Migiro a second term, the UN's Resident Coordinator in Tanzania Alberic Kacou has gone ahead to confirm and defend it.

On January 21, Inner City Press reported that despite Migiro lobbying including through the African Group of UN member states, she was not getting a second term, seemingly to be replaced, as Inner City Press first reported in November.
 
- Yaani I am lost na kinchozungumziwa hapa, Dr. Asha-Rose Migiro, ni msomi aliyeweka record za ajabu kila Shule aliyosoma kuanzia bongo mpaka Germany, ameandika vitabu kibao vya kusaidia jamii, amekuwa mbunge, ameongoza Dunia na sasa bado ni Muwakilishi wa UN Africa, na pia ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya CCM, nafasi zote hizi Halima anafanana naye kwa moja tu ya Ubunge, sasa nisichoelewa wanalinganishwa kwa vipi?

Le Mutuz

Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit "in the diverse and complicated body" were some of the reasons she was refused a contract renewal.

"The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances," the source told Vox Media in a telephone conversation.

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, comprising 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected.

"She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete.

It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania's vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete's vote.

But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for "poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate."

This entry was posted in Analysis. Bookmark the permalink.
 
MsemajiUkweli,

Hiyo list imeshapitwa na wakati.

.Huwezi kusema list imepitwa na wakati, hiyo ni sawa na kusema pia wale wote waliotunukiwa na nishani zinakuwa zimepitwa na wakati.

.Kitu cha maana ni kuwa katika kundi lililotambuliwa kimataifa bila kujali lilikuwa la mwaka gani na vigezo gani vilitumika.

.bila hata kuwa kwenye kundi, tunakuwa kama hatuko makini tunapoanza kumfananisha Dr. Migiro na Mh. Mdee kwa sababu, historia ya Dr. Migiro iko wazi kwa waliopitia na kufundishwa na yeye UDSM. Naona kama kuna ajenda za siri nyuma ya bandiko kitu ambacho hata hakimtendei haki Mh. Mdee.
 
- Ok so USA hawahitaji Uranium huko kwao? na je wameshaipata Tanzania baada ya kumpa Mama Migiro hiyo kazi?

le mutuz

Qwiro Boy! aint you read between the lines? we are talking about US interest...

Kwa mara ya kwanza Uranium imechimbwa ndani ya Mbuga ya Wanyama/Hifadhi ya Selou, kinyume na taratibu za nchi kinyume na taratibu sheria za umoja wa mataifa! needless to mention kampuni gani inahusika?

mikataba inayoingiwa mnafanya siri eti wananchi wasijue kinacho endelea!...CCM ni Janga la TAIFA...Rasilimali zetu zinavunwa hovyo huku mkichekelea mtindo wa mbuzi kagoma kwenda huku mkiwekewa vijicent ambavyo hamuwezi kuzitumia huko uswis...Hovyo Kabisa!!!CCM Hamuwezi kufikiri zaidi ya urefu wa matumbo yenu...
 
- duh!!

le mutuz
 
Kimsingi tangu dr migiro amepata ukubwa huo ktk ngaz ya kimataifa ni msadagan ambao amewasaidia waafrika ma tanzania! Wa2 wa jimbon kwa mdee wamefufaika ktk mambo mbalimbali ambayo mh mdee ameyapigia kelele bungen, migiro hamna ki2 kabisa.
 
Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit “in the diverse and complicated body” were some of the reasons she was refused a contract renewal.

“The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances,” the source told Vox Media in a telephone conversation.

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, comprising 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected.

“She wasn’t popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized.”

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete.

It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania’s vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete’s vote.

But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for “poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate.”

This entry was posted in Analysis. Bookmark the permalink.

Thank u very much mkuu!
 
Hivi kweli kwenye diplomatic career ya Asha-Rose Migiro, huoni mazuri yoyote aliyofanya zaidi ya yale yanayoweza kukuridhisha nafsi yako? Dude you must have some serious problems, na sijui ni vigezo au juhudi gani alivyofanya Halima Mdee ambavyo vinakufanya hadi umuweke juu zaidi ya mkeo.

Unatakiwa kutujuza ni kitu gani zaidi ya yeye kupata bahati ya kuteuliwa kuwa Deputy UN Secretary na sikutetea tu? Sasa UN wamekata ku-renew contract yake nasikia kutokana kushindwa kuperform as per UN HR standards....
 
Back
Top Bottom