Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
- #21
First thing first. Mimi sio mstaarabu na vilevile sio great thinker, but I don't afraid to give people a piece of my mind. This thread of yours stinks for the following reasons.
- Kama unaleta mada akikisha kuwa kichwa cha mada na kile unachotaka kusema vinaendana. Kina Tundu Lisu and Lipumba wamefuata nini?
- Vilevile akikisha mada yako ni kamili. Michango ya watu haiji kukamilisha mada kwani sio lazima tuchangie.
- Pia ni lazima ufananishe vitu vinavyofanana, andazi kwa andazi
- n.k n.k n.k
Kuna wanaopenda viungo waachie harufu yake, wasiopenda viungo wale vikavu vilivyo.
Hapa JF licha ya kuwa na mada nzitonzito, nyingine pamoja na umuhimu kuna kuweka radha fulani ya watu wanyooshe kidogo mbavu zao katika mapumziko ya weekend. Hatupo kwenye kuweka tesisi ya kuchambuliwa na instructors, kwani hapa ni kilima cha jopo la watu kuchangia mada, nyoosha kile uonacho kinakosekana.
Haijaletwa mada ya kuisoma kama kitabu tu, hapa ni kujadili, kilichopungua ongeza au jazia, hatima ya mada ndio ukamilifu wake, vinginevyo hatungechangia kama kitu kimekamilika.