Atabase Agaya
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 120
- 41
Mwee! Kumbe hata wanamuziki: Lady Gaga (#14), Beyonce Knowles (32), J Lo (#38) na Shakira (#40) nao wamemfunika!!!
Aisee!!kumbe mnapambanisha watu kibongobongo!!teh,teh,teh nitarudi.Ndio maana kafananishwa kibongobongo, cha muhimu ni kufananisha exposure yake na mambo aliyoyafanya. Mbona ni hesabu ndogo sana
First thing first. Mimi sio mstaarabu na vilevile sio great thinker, but I don't afraid to give people a piece of my mind. This thread of yours stinks for the following reasons.
- Kama unaleta mada akikisha kuwa kichwa cha mada na kile unachotaka kusema vinaendana. Kina Tundu Lisu and Lipumba wamefuata nini?
- Vilevile akikisha mada yako ni kamili. Michango ya watu haiji kukamilisha mada kwani sio lazima tuchangie.
- Pia ni lazima ufananishe vitu vinavyofanana, andazi kwa andazi
- n.k n.k n.k
Una matatizo ya uelewa finyu, na ukosefu wa elimu !Jee, mke wako naye kafunikwa na Halima Mdee?
Nani anaeweza kutueleza categorically kuwa Dr Asha Migiro ali-underperform kwenye nafasi ya naibu katibu mkuu wa UN? Mnajua aliingiaje? kwa taarifa tu...
Dr Migiro alipata ile post kutokana na USA kutaka kuiweka Tanzania karibu zaidi hususan baada ya kugundulika kuwa tuna madini mengi ya Uranium ambayo kimsingi Iran ilikuwa inayahitaji kwa udi na uvumba.
Kumbuka kuwa Mdeni wetu mkubwa kama nchi by then ilikuwa ni nchi ya Iran iliyokuwa inatupa misaada mbalimbali ikiwemo ku-supply mafuta pale tipper kigamboni bila ya mashart magumu kwa maelezo kuwa nchi ikitengemaa kiuchumi tutakuja kulipa, hiki kilikuwa kipindi cha Mwalimu JK Nyerere...
So mgogoro wa USA Vs Iran ndiyo iliyompa nafasi Dr Asharose Migiro. Kwanafasi aliyopewa ilimpasa kupaza sauti kuimba nyimbo zenye interest za USA, Jambo ambalo mpaka sasa analiendeleza kwani anaofisi pale BOT inayoratibu shughuli zake ikiwa ni pamoja na maandalizi ya kumpata Rais Mwanamke!!!
KALAGA BAHOo Wadanganyika....
...Dude jaribu kutumia hata macho basi kuona...kwani home kukiwa mambo safi kunalemaza mtu kujua game linalochezwa duniani...Soma hii article then utajua huyo jamaa ni mkali kiasi gani kwenye nyanja za kijasusi na ameshiriki kwa kiasi gani kwenye mikakati ya ujasusi Iran na Iraq...[h=2]Deputy Secretary-General[/h][h=3]JAN ELIASSON[/h]- Mambo mengine kabla ya kuandika muwe mnafikiri japo for a minute, tunaokuja kukusoma ni wazima au tumepungukiwa akili? Ok na huyu aliyeshika nafasi ya Dr. Migiro huko UN sasa hivi USA inatafuta nini nchini kwake?
le mutuz
Sijaua uchambuzi makinifu unaomaanisha zaidi ya kuangalia nchi wanayotoka inahitaji nini na wao wamefanya nini na wamepata umaarufu kivipi. Sasa elimu na uzoefu alio nao Migiro umemnyanyua vipi Mtanzania wa kawaida the same has Mdee. Migiro hajaonyesha kulleta mabadiliko yoyote kwa mtanzania wa kawaida sasa hayo mambo ya mavyeo kukaa UN ni bure kwetu, bora hiyo nafasi angepata Mdee sababu Migiro kakaa bungeni na hajawahi onyesha chochote cha kustua lakini angalia Mdee aliyoyafanya kwa muda mfupi
Wewe acha hizo za hawezi kuwa rais sababu ni mwanamke. That's primitive!
Ni sawa na kusema mwanaume fulani hawezi chaguliwa urais sababu mafisadi papa wote ni wanaume.
Huyu mama mhukumu kwa ukilaza wake na si kwa jinsia yake.
...Dude jaribu kutumia hata macho basi kuona...kwani home kukiwa mambo safi kunalemaza mtu kujua game linalochezwa duniani...Soma hii article then utajua huyo jamaa ni mkali kiasi gani kwenye nyanja za kijasusi na ameshiriki kwa kiasi gani kwenye mikakati ya ujasusi Iran na Iraq...[h=2]Deputy Secretary-General[/h][h=3]JAN ELIASSON[/h]On 2 March 2012, Jan Eliasson was appointed Deputy Secretary-General of the United Nations by Secretary-General Ban Ki-moon. He took office as Deputy Secretary-General on 1 July 2012.![]()
Mr. Eliasson was from 2007-2008 the Special Envoy of the UN Secretary-General for Darfur. Prior to this, Jan Eliasson served as President of the 60th session of the UN General Assembly. He was Swedens Ambassador to the US from September 2000 until July 2005. In March 2006, Mr. Eliasson was appointed Foreign Minister of Sweden and served in this capacity until the elections in the fall of 2006.
Mr. Eliasson served from 1994 to 2000 as State Secretary for Foreign Affairs, a key position in formulating and implementing Swedish foreign policy. He was Swedens Ambassador to the UN in New York 1988-92, and also served as the Secretary-Generals Personal Representative for Iran/Iraq.
Mr. Eliasson was the first UN Under-Secretary-General for Humanitarian Affairs and was involved in operations in Africa and the Balkans. He took initiatives on landmines, conflict prevention and humanitarian action. 1980-1986, Mr. Eliasson was part of the UN mediation missions in the war between Iran and Iraq, headed by former Prime Minister Olof Palme. In 1993-94 Mr. Eliasson served as mediator in the Nagorno-Karabakh conflict for the Organization for Security and Co-operation in Europe (OSCE). He has been a Visiting Professor at Uppsala University and Gothenburg University in Sweden, lecturing on mediation, conflict resolution and UN reform. On 18 September 2011, Mr. Eliasson delivered the 13th annual Dag Hammarskjöld Lecture, organised by the Dag Hammarskjöld Foundation and Uppsala University; the theme of his address was Peace, Development and Human Rights: The Indispensable Connection. Mr. Eliasson has had diplomatic postings in New York (twice) Paris, Bonn, Washington (twice) and Harare, where he opened the first Swedish Embassy in 1980.
Prior to his appointment as Deputy Secretary-General, Jan Eliasson also served as Chair of Water Aid/Sweden and a member of the UN Secretary-Generals Advocacy Group of the Millennium Development Goals (MDGs).
[h=4]Education[/h]Mr. Eliasson graduated from the Swedish Naval Academy in 1962 and earned a Masters degree in Economics and Business Administration in 1965
[h=4]Personal[/h]Mr. Eliasson was born on 17 September 1940 in Goteborg, Sweden. He is married with 3 children.
Sijajua ni vigezo gani vinatumika bt sioni kama Rose anaweza kuwa juu ya Prof Wangari wa Kenya. Nimeona mara nyingi migiro kawekwa juu sababu ya position aliyopo lakini sio utendaji wake. wanaojua matatizo alokuwa nayo na mumewe na uhusiano wake na wakulu/mkulu wanawezajua amefikaje hapo.
hakuna mwanamke hata mmoja tz unayeweza kumlinganisha na wakenya. Hata kama hawajapata elimu kubwa but they know to demand for their rights! Mtake radhi mama wangari ndugu yangu hawezi kufanana na hao wanaokaa na kusubiri vyeo. Ndo maana sasa hivi wamekaa wakisubiri kuambiwa sasa ni zamu ya wanawake. Shit. Ubunge alipewa, nafasi un alipewa, how could she compete with wangari ambaye amepigania mabadiliko ya haki za kijinsia na akafanikiwa? Unakumbuka walivyovua nguo uhuru park na kubaki uchi ili pasichukuliwe na mafisadi?
To be frank kubebana katika siasa na nafasi kwa wanawake Tanzania kunawaongezea kutokuwa na confidence. Katika hali ya kawaida hakuna mtu angetegemea kama Dr. Migiro angeweza pewa nafasi nyeti kama hiyo kama siyo nepotism na kuacha wanawake wengi tu hapa Tanzania ambao wangeweza kutoa mchango mzuri katika nafasi hiyo....
Vyuo vikuu Tanzania vina wanawake wanaojiamini na pia hata kwenye idara zingine kuliko huyo lakini wakati mwingine hii siasa yetu iliyojaa who knows who ina blind viongozi wengine nami nashindwa kuelewa kama vetting inafanywa kihalisia katika nchi yetu. Utashangaa sana kuona watu wasiona sifa ndiyo ambao wana excel na kuwaacha wengi ambao pengine kama kungekuwa na vetting nzuri ndiyo ambao wange surface...
Kigezo kimoja tu cha kuangali kwa umri aliokaa chuoni hapo mpaka leo hata kufikia nafasi ya u-profesor ilikuwa tabu mtu wa jinsi hii anawezaje kuwa mbunifu kama alishindwa ku excel kwenye carrier ambayo ni profession yake kwenye mazingira yote sahihi ya yeye kuweza ku-demnstrate capability zake? Then utegemee aende sehemu ambayo inahitaji talent zaidi kuliko professionalism kuweza kung'aa? This is next to impossible its the natural law kwamba charity beggins at home kama kuna element zozote za personal excellence zingejionyesha katika nafasi zake za awali na hasa chuo kikuu ambapo the law is you 'either publish or you perish' lakini hata katika miaka yake yote hiyo akaamua kuachia carrier katikati na kukimbilia siasa tena ya upendeleo (viti maalumu) hakujaribu hata kuwa brave enough katika nafasi yake ya exposure kama academician kugombea maana yeye siyo disadvantaged woman then utegemee miracles? No way!
Lakini mtu kama Halima Mdee utaona kabisa yuko vissionary kwanza kwa mwanamke kama yeye kuamua ku-risk kwenda upinzani na kupata nafasi mara ya kwanza kusoma mazingira then kwenda kugombea jimboni utaona growth katika nafasi yake na a sor of brave character pale anapopewa nafasi..Siyo hata mtu unapendelewa then unashindwa ku-grow...Pamoja na kuwa mimi ni CHADEMA lakini pia ukiniuliza kati ya Prof. Tibaijuka nitakubaliana kuwa alijitahidi bila kuonyesha kubebwa kwanza kwakuweza kufikia highest rank kwenye academics then kuunda baraza la wanawake na kukumbana na mkono wa chuma wa dola hadi kuisambaratisha na kwa umri wake kukubali ku-conced unaona kabisa huyu ameonyesha kuwa she is capable hata kama hajafikia malengo yake lakini alifanya kwa nguvu akili na uwezo wake wote....
...Dude jaribu kutumia hata macho basi kuona...kwani home kukiwa mambo safi kunalemaza mtu kujua game linalochezwa duniani...Soma hii article then utajua huyo jamaa ni mkali kiasi gani kwenye nyanja za kijasusi na ameshiriki kwa kiasi gani kwenye mikakati ya ujasusi Iran na Iraq...Deputy Secretary-General
JAN ELIASSON
On 2 March 2012, Jan Eliasson was appointed Deputy Secretary-General of the United Nations by Secretary-General Ban Ki-moon. He took office as Deputy Secretary-General on 1 July 2012.![]()
Mr. Eliasson was from 2007-2008 the Special Envoy of the UN Secretary-General for Darfur. Prior to this, Jan Eliasson served as President of the 60th session of the UN General Assembly. He was Swedens Ambassador to the US from September 2000 until July 2005. In March 2006, Mr. Eliasson was appointed Foreign Minister of Sweden and served in this capacity until the elections in the fall of 2006.
Mr. Eliasson served from 1994 to 2000 as State Secretary for Foreign Affairs, a key position in formulating and implementing Swedish foreign policy. He was Swedens Ambassador to the UN in New York 1988-92, and also served as the Secretary-Generals Personal Representative for Iran/Iraq.
Mr. Eliasson was the first UN Under-Secretary-General for Humanitarian Affairs and was involved in operations in Africa and the Balkans. He took initiatives on landmines, conflict prevention and humanitarian action. 1980-1986, Mr. Eliasson was part of the UN mediation missions in the war between Iran and Iraq, headed by former Prime Minister Olof Palme. In 1993-94 Mr. Eliasson served as mediator in the Nagorno-Karabakh conflict for the Organization for Security and Co-operation in Europe (OSCE). He has been a Visiting Professor at Uppsala University and Gothenburg University in Sweden, lecturing on mediation, conflict resolution and UN reform. On 18 September 2011, Mr. Eliasson delivered the 13th annual Dag Hammarskjöld Lecture, organised by the Dag Hammarskjöld Foundation and Uppsala University; the theme of his address was Peace, Development and Human Rights: The Indispensable Connection. Mr. Eliasson has had diplomatic postings in New York (twice) Paris, Bonn, Washington (twice) and Harare, where he opened the first Swedish Embassy in 1980.
Prior to his appointment as Deputy Secretary-General, Jan Eliasson also served as Chair of Water Aid/Sweden and a member of the UN Secretary-Generals Advocacy Group of the Millennium Development Goals (MDGs).
Education
Mr. Eliasson graduated from the Swedish Naval Academy in 1962 and earned a Masters degree in Economics and Business Administration in 1965
Personal
Mr. Eliasson was born on 17 September 1940 in Goteborg, Sweden. He is married with 3 children.
- Umeeleweka sana bro!, finally leo umekubali kuwa wewe ni Chadema, bravo!!
le mutuz