Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Naona hii post hujaielewa sababu Candid Scope hajaweka source yake.
Na wewe ungekuwa msomaji mzuri, ungekuwa na taarifa ya Forbes Most Influential Women in Africa. Tanzania imetoa two women, mmoja wapo ni Halima Mdee.
Forbes wanafahamu ukilaza wa Migiro ndio maana hawakumweka.
Ila tafadhali tuambie jambo hata moja la maana alilofanya Migiro kwa ujasiri wake. Tusaidie ili tusiwe tunamwona muuza sura tu kumbe mpambanaji.
na labda mwanamke kama huyu Mdee angepata nafasi ile adimu na ya pekee katika historia ya wanawake katika Umoja wa Mataifa huenda angeweza kuingia bora 100 kwa miaka aliyokaa Migiro United Nation.
The Mockingjay unamsema mwenzi o kuwa katoka kapa kumbe ni wewe ambaye umetoka kapa............unadai Tanzania imetoa wawil na ukamtaja Mdee wakati mleta mada katoa tu hisia za huenda kama angelichaguliwa Mdee katika 100 bora...........hebu pitia maeneo niliyoyainisha kwa rangi nyekundu ujipime mwenyewe kabla hujambeza mwenzio...............tutafakari vigezo wanavyovitumia ni vipi na wana malengo yapi..............nionacho ukiwa na cheo tu wewe ni infulential.....................but in what ways.......................wanawake wengi wenye vyeo wanawezeshwa vitandani khalafu watakuwaje influential kwenye jamii.......think hard.........................kabla hatujakuwa mateja ya vipimo hivi visivyo na tija........................hakuna mahali wamesema waliyoyafanyia jamii hata hao kwenye 100......................naona vyeo tu je wamevipataje?
Hakuna majibu.............