Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,695
- 4,985
walai unaitumia sehem kibao hadi comment inakera kuisomaKuna mdada alikuwa anaitwa Amina naye pia alishindikana kabisa, bahati akaenda sober house ya Kigamboni na amepona kabisa walahi
Rose aendelee kumtafuta Mungu wake tu walahi
Usiwe unasoma comments zangu walahiwalai unaitumia sehem kibao hadi comment inakera kuisoma
Uzuri ni kwamba hajalisahau wigi lake wakati akiombew.
Akivua wigi la marehemu huo mzimu utamuacha.
Sawa WalaiUsiwe unasoma comments zangu walahi
Njoo Inboxdogo niaje aisee?
Jamani hii inatisha
Duuh inasikitisha sana... sipendi uongo wao hawa basi tuuu
Wajinga ndio waliwao, wewe endelea kuliwa, maana yangu ni kwamba kaenda na kanga/kitenge akijua kabisa kuwa ataanguka ili wamfunike. Aidha, unaona kuwa anajitambua kabisa maana baada ya kuanguka kaivuta sketi watu wasione vya ndani. Kama kweli mashetani yamepanda, hiyo akili ya kuvuta skirt imetoka wapi.Unaweza kwenda kanisani na nguo fupi!???
Jamani Rose kama mwanadamu wa kawaida naye anayo haki ya kupendwa, kut*mbw@ na kuishi kama watu wengine hapa duniani. Mwacheni binti wa watu apumzike ijapokuwa anapitia kipindi kigumu ktk maisha yake...hadi kufikia hatua ya kusaidiwa f5 ya nauli si mchezo! Kama kweli meneja wake anamfanyia vigisu baada ya kumt*mb@ na kumzalisha, Mungu anamuona.
Inawezekana kabisa mkuu...it looks like comedy!Unaweza kukuta huyu Pastor Ng'ang'a amempatia Rose fungu ili aaanguke amtengenezee ili Mchungaji apande Hadhi Kipande hiyo, imekuwaje amejiandaa kwa kwenda na nguo ndefu !!!
Angalia hata baada ya kuanguka Rose amevuta skirt maeneo nyeti yasionekane. Ni mapepo gani ynamwachia mtu akili ya kukumbuka kuwa atakuwa uchi ili ajisitiri ?Halafu akaenda na kanga/kitenge ili akianguka afunikwe.Inawezekana kabisa mkuu...it looks like comedy!
Mkuu unatisha hata mimi nimeliona hilo,ndugu zangu watanzania naombeni kujua wakati Rose akiimba likuwa anaabudu kanisa gani la kiroho au kwa mchungaji yupi naona hapo alipofanyiwa maombi kwa umri wake kiroho nimeona siyo mahali sahihi na je hapakuwa na watumishi Tanzania ambao wangemwombea kuliko huko.Wajinga ndio waliwao, wewe endelea kuliwa, maana yangu ni kwamba kaenda na kanga/kitenge akijua kabisa kuwa ataanguka ili wamfunike. Aidha, unaona kuwa anajitambua kabisa maana baada ya kuanguka kaivuta sketi watu wasione vya ndani. Kama kweli mashetani yamepanda, hiyo akili ya kuvuta skirt imetoka wapi.
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Walokole wengi ni wanafiki na wasanii mno.Sanaa tupu hizi,akitoka hapo anavuta chake akaendelee kula unga wake...
Walokole ni watu wanafiki no. 1 dunia hii.....
Mimi ni mnafiki ila walokole wamenipita mbali sana!