- Thread starter
- #21
Hawakuwahi kuishi pamoja lakini walizaa watoto (3?)....you are joking, right?!
Walizaa watoto 2.
Hawakuwahi kuishi pamoja lakini walizaa watoto (3?)....you are joking, right?!
Nakubaliana na wewe kama walizaliwa 1987, hakuna child support kwa sababu ni watu wazima sasa.Wait a minute! Hao Emiliana na Linus wamezaliwa 1987? Yaani anataka matunzo ya a 25 yrs old man and a woman (manake sio girl tena)? Ama anadai arrears? Mmh, fishy!
Kwani wanaozaa na waume wa watu wanazaaje? Its a 5 minutes process to make a baby mwalimu!
And I thought watoto ni wawili?
Thats stupid.Kama hawajafunga ndoa,those children out of wedlock stand illegitimate and support of the children remains with concubine mother.That's all.
Kuachana tena? Kwani walikuwa kwenye ndoa?Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?
Kuachana tena? Kwani walikuwa kwenye ndoa?
Hapana ila Rose Anataka matunzo ya watoto na mali zile walizochuma wote wagawane pasu pasu.Hivi penzi huwa linalazimishwa jamani?!
NOTE:Kuachana tena? Kwani walikuwa kwenye ndoa?
Hapana ila Rose Anataka matunzo ya watoto na mali zile walizochuma wote wagawane pasu pasu.
Huyu mama Rose ndio wale wale
akina she-buda kwani yeye
hadi leo hajapata tu mzazi mwingine wa.......hadi amn'gang'anie Dr.Slaa?
Tusiwe biased bwana, kama mwanasiasa ambae ni kioo cha jamii lazima social responsibilities zitimizwe! Josephine (first lady wangu binafsi) hajapata hati ya talaka kwa mumewe na ndo iko mahakamani. Kama Rose Kamili nae hajatalikiwa na mumewe, ana haki ya kumshika ugoni na kudai matunzo ya watoto. Hili sio suala la chadema, ni suala lao binafsi.
inaelekea badala ya kuungama kwa padri yeye alikua anashusha mistari na kurembua rembuaKabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?