Ronaldo aweka rekodi mpya

Ronaldo aweka rekodi mpya

Daahh nyakati zinaenda Kasi sana yaani cr7 ndio wakunangwa kiasi hiki 😄😄📌

Nakumbuka last year alisema kwamba yeye ndiye mchezaji Bora wa Dunia wa muda wote na haoni zaidi yake

Basi mastar karibia wote wa mpira walimdhihaki Hadi boss wake wa zamani tajiri la real Madrid perez alimshangaa 😄😄🙌

Now anakiona Cha mtema kuni
Ronaldo hana akili. Na nafikiri ana matatizo ya kisaikolojia. Ego kama litoto lidogo.
 
Daahh nyakati zinaenda Kasi sana yaani cr7 ndio wakunangwa kiasi hiki 😄😄📌

Nakumbuka last year alisema kwamba yeye ndiye mchezaji Bora wa Dunia wa muda wote na haoni zaidi yake

Basi mastar karibia wote wa mpira walimdhihaki Hadi boss wake wa zamani tajiri la real Madrid perez alimshangaa 😄😄🙌

Now anakiona Cha mtema kuni
Ronaldo kwa sasa ni kituko..
Mashabiki wa soka hawana shukrani, juzi juzi tu hapa ameimbwa sana, leo amekuwa wa kusimangwa
 
Hakuna Kocha alie na raha kama kocha yoyote yule anaefundisha timu aliyoko Ronaldo.

Fikiria tu kwa sauti kubwa watu wengi wanamtupia lawama Ronaldo kwenye game ya juzi wanasahau mlendani alikuwepo Vitinha alikuwepi Bruno ambao hawajatengeneza chance yoyote na sio hivo tu juna yule mchezaji mpya wa Madrid alikuwa kituko haswa..

Ukweli lqzimq usemwe wqchezqji wote walizingua sana .Sema jamaa kwakuwa anakikubali kama shemeji zangu wa Kihaya ndo maana lolote baya likimkuta zigo la Haja kubwa linakuwa juu yake.
 
Daahh nyakati zinaenda Kasi sana yaani cr7 ndio wakunangwa kiasi hiki 😄😄📌

Nakumbuka last year alisema kwamba yeye ndiye mchezaji Bora wa Dunia wa muda wote na haoni zaidi yake

Basi mastar karibia wote wa mpira walimdhihaki Hadi boss wake wa zamani tajiri la real Madrid perez alimshangaa 😄😄🙌

Now anakiona Cha mtema kuni
Alitakiwa aseme mchezaji mwenye wafuasi wengi zaidi Instagram kuwahi kutokea.
 
Madeira, Manchester, Madrid, Turin and Manchester again.
Wreathed in red.
Restored to this great gallery of the game.
A walking work of art.
Vintage.
Beyond valuation, beyond forgery or imitation.
18 years since that trembling teenager of touch and tease, first tiptoed on this storied stage;
Now in his immaculate maturity-Peter Drury Ronaldo akirejea Manjesta.
Man U lilirudi garasa.
 
Hakuna Kocha alie na raha kama kocha yoyote yule anaefundisha timu aliyoko Ronaldo.

Fikiria tu kwa sauti kubwa watu wengi wanamtupia lawama Ronaldo kwenye game ya juzi wanasahau mlendani alikuwepo Vitinha alikuwepi Bruno ambao hawajatengeneza chance yoyote na sio hivo tu juna yule mchezaji mpya wa Madrid alikuwa kituko haswa..

Ukweli lqzimq usemwe wqchezqji wote walizingua sana .Sema jamaa kwakuwa anakikubali kama shemeji zangu wa Kihaya ndo maana lolote baya likimkuta zigo la Haja kubwa linakuwa juu yake.
Lakini vipi unazungumziaje hii rekodi yake mpya aliyoiweka?
 
Cristiano Ronaldo sasa amefikisha mechi 10 mfululizo kwenye michuano mikubwa bila kufunga bao baada ya mchezo wa Portugal dhidi ya DR Congo ⚽🔥

CR7, Mnyama wa Madeira, Captain Fantastic, Mr. Champions League na The Portuguese Machine bado anaendelea kusaka bao utafikiri kama amelipoteza 😅

Cha kuogopesha zaidi:
  • Ana miaka 41
  • Goal drought imefika mechi 10
  • Penalties hazipatikani tena 😅

Wakati huo huo kule La Pulga mwenyewe anaendelea kupiga magoli World Cup akiwa na umri wa miaka 38 na kuvunja records mbalimbali 🔥

Kibaya zaidi ni kwamba mzee wa “Siuuu” siku hizi anakosa hata shot on target moja 😃
Rekodi nzuri
 
Unaonekana una chuki binafsi na CR7 siyo bure!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom