Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
- Thread starter
- #61
Kila marefu yana ncha, huenda hii World Cup ikiisha CR7 akatundika daruga lakini ni vyema afikishe kwanza magoli 1000.Ronaldo kwa sasa ni kituko..
Mashabiki wa soka hawana shukrani, juzi juzi tu hapa ameimbwa sana, leo amekuwa wa kusimangwa
Akifanya masihara Messi atafikisha 1000 goals kabla yake.Kila marefu yana ncha, huenda hii World Cup ikiisha CR7 akatundika daruga lakini ni vyema afikishe kwanza magoli 1000.