miye bado sijaweka manyanga chini.. kwani hapa Michigan amepewa Obama... lakini kura ndio zinazidi kupigwa ngoja waiondoe ila kama FL inaenda kwa Obama.. well mjaluo anarudi
O!Usiku mwema basi!I am still keen to know who won FL.
Usheikh Yahya hukugraduate.
wabongo wengine baana...
Miye naona jambo la hatari tu.. kimsingi wana mforce Romney to concede...
Miye naona jambo la hatari tu.. kimsingi wana mforce Romney to concede...
Nimekubali Kushindwa.............dahhh
Duh, pole mzee mwenzangu...jana nilikuambia tukutane hapa leo, mwenzio hata sikuwa na wasi wasi! Vitendo vya GOP na Fox News viliamsha mizimu ya DEM toka wakati wa Tea Party! Mimi nina bahati ya kuchanganyikana na watu wa kawaida sana mitaani na kilichojulikana hata kabla ya debate ni kuwa Karl Rove na matajiri wake hawataweza hivi vita. Afrika yes, Marekani no. Hebu fikiria mpaka Gallup poll wakatumbukia ndani!aisee miye bado nipo... ngoja usiku wa saa tisa muone wenzao wanageuza...
wabongo wengine baana...
wabongo wengine baana...
wabongo wengine baana...
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.
That's my guess work
Duh, pole mzee mwenzangu...jana nilikuambia tukutane hapa leo, mwenzio hata sikuwa na wasi wasi! Vitendo vya GOP na Fox News viliamsha mizimu ya DEM toka wakati wa Tea Party! Mimi nina bahati ya kuchanganyikana na watu wa kawaida sana mitaani na kilichojulikana hata kabla ya debate ni kuwa Karl Rove na matajiri wake hawataweza hivi vita. Afrika yes, Marekani no. Hebu fikiria mpaka Gallup poll wakatumbukia ndani!