Romney kushinda kesho...

Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,092
Reaction score
43,265
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.

That's my guess work
 
Hata mimi nimehisi huyu atachukua urais
Media zinadanganya watu
Gallup wako sahihi
na Early voting inawadanganya Democrats
 
Gallup naona wamekaa kimya siku kibao ila na wao leo ndiyo wamekuja na matokeo tofauti.

Inavyoonekana uchaguzi utakuwa tight sana na sidhani kuna anayeweza kusema mapema nani atashinda zaidi ya kuwa Sheik Yahya wa uchaguzi wa USA.

Gallup leo wamekuja na hii: Election 2012 Polling and News, Republican Presidential Candidates, Obama, Interactive Polling Data

Pia, sijui hii kesi itafanya Uharibifu wa kiasi gani kwa Romney ukiacha kesi ya Storm ambayo Romney alianza kufanya mzaha na janga kubwa sana kwa watu....

Romney kushitakiwa: BREAKING: Mitt Romney Charged With Violating Federal Ethics Law! - Topix

Last edited by a moderator:
I doubt Romney kuchukua PA na OHIO, these will go to Obama, lakini nadhani Romney has VA, MI na FL in his tally; Ngoma ni ngumu sana for Obama, lakini the race is tight not because of anything but the issue of RACE; Sandy ilisaidia kidogo ku distract watu kwani Obama alikuwa anashambuliwa left and right kwa uongo tu na kama tunavyojua, uongo ukisemwa kwa muda mrefu ugeuka kuwa ukweli; Lakini in the final analysis, sidhani kama Romney atashinda electoral votes, Obama atashinda zote lakini by a very small margin na kunaweza kuja upuuzi wa a recount katika maeneo fulani fulani to bring more distractions kwani Republicans feel like they are entitled to rule the US;

Mkipata muda tazameni MSNBC Chris Mathew leo, ingawa hii channel leans on Dems, Chris huwa yupo very objective and almost right kila uchaguzi;
 
yeyote na awe rais coz marekani kinachoongoza nchi si rangi ya mtu bali sera zakuiweka US no 1, hakuna mabadiliko ya sera za us kwa Afrika
 
I doubt Romney kuchukua PA na OHIO,
Mchambuzi kwa Romney kushinda naamini he will have to atleast with either one of these two on condition pia kuwa anashinda CO... lakini kama CO inaenda kwa Obama (which it probably will).. Romney ni lazima ashinde kati ya hizi mbili. PA, OH, CO, VA, WI na FL haziwezi kwenda kwa mtu mmoja. At least thats how I'm reasoning.
 
dont underestimate democrats...kumbuka hizi polls wanazifanya kwa kutumia landlines...kumbukeni democrats wengi ni wale wa kima cha chini ambao hawana landline...remember 2008 kuna states zilikua zinaonyesha zinakwenda kwa mccain lakini obama akazichukua... i have a strong feeling OH,PA,VA zitaenda kwa obama na akizichukua hizo white house ya kwake
 
Mkipata muda tazameni MSNBC Chris Mathew leo, ingawa hii channel leans on Dems, Chris huwa yupo very objective and almost right kila uchaguzi;

Mchambuzi Chris Matthew is the most biased ya watangazaji wa Kimarekani. MSNBC ni kama mouth piece ya Democratic Party. Chris Matthew anataka sana Obama ashinde.
 
Mchambuzi kwa Romney kushinda naamini he will have to atleast with either one of these two on condition pia kuwa anashinda CO... lakini kama CO inaenda kwa Obama (which it probably will).. Romney ni lazima ashinde kati ya hizi mbili. PA, OH, CO, VA, WI na FL haziwezi kwenda kwa mtu mmoja. At least thats how I'm reasoning.
Kwa mtazamo wako, kati ya hizi, Obama most likely atashinda zipi? PA? Nevada? Wisconsin and Ohio? Kama akishinda zote hizi na kumwachia Mitt the rest of the battle ground states, Obama atashinda by about 2 to 5 electoral votes; Kwa mtazamo wangu, electoral votes zitakuwa karibu sana between the two, and this is what will make this election interesting mpaka dakika ya mwisho;
 
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.

That's my guess work
Hapa Mzee Mwanakijiji unaongea kinyume...He he he.Today is like X-Mass Eve in American Politics. I love it!.
 
Mchambuzi Chris Matthew is the most biased ya watangazaji wa Kimarekani. MSNBC ni kama mouth piece ya Democratic Party. Chris Matthew anataka sana Obama ashinde.

I know what you mean, but nachompendea ni kwamba Dems wakikosea au wakiwa wanasua sua katika jambo, huwa anazungumza hilo black and white, sio kama jamaa wa Fox;
 
Kwa mtazamo wako, kati ya hizi, Obama most likely atashinda zipi? PA? Nevada? Wisconsin and Ohio? Kama akishinda zote hizi na kumwachia Mitt the rest of the battle ground states, Obama atashinda by about 2 to 5 electoral votes; Kwa mtazamo wangu, electoral votes zitakuwa karibu sana between the two, and this is what will make this election interesting mpaka dakika ya mwisho;
Naamini Nevada itaenda kwa Obama na possibly PA, Wisconsin naamini itaenda Romney (sababu ya Paul Ryan mostly); na lakini pia kuna CO ambayo ina 'lean' towards Romney..
 
Naamini Nevada itaenda kwa Obama na possibly PA, Wisconsin naamini itaenda Romney (sababu ya Paul Ryan mostly); na lakini pia kuna CO ambayo ina 'lean' towards Romney..

Unajua in the past kuna candidates (pia running mates) lost kwenye their home states...; ila kwa kweli Obama hali yake itakuwa ngumu mpaka last minute kwani key states ambazo hadi dakika ya mwisho bado haijulikani zipo upande gani zimekaa vibaya sana yani VA, OH, WI na FL, hizi zinabeba jumla ya 70 electoral votes, na the two candidates hadi sasa nadhani wamepishana by like 10-15 electoral votes iwapo mtu ukiamua kutumia figures ambazo zipo more conservative; Obama should be just above 200 right now huku Romney akiwa around 190; Hivi kwanini FL imegeuka this time around?
 
Uchambuzi humu ni wa kuhisia zaidi. Chungulieni na kule kwenye Intrade Real Time Quotes/Intrade Market Prices for General Election. Leo Obama yuko kwenye 70.3 vs. Romney 30.1. Hawajawahi kukosea hawa tangu waanze enzi za JFK vs Nixon
 
IMO this election is still too close to call advantage BO'...sidhani kama Romnesia atachukua PA na OH.
 
Redskins Rule Bodes Well For Mitt Romney But World Series Result Favors Barack Obama

Sunday, November 4, 2012 6:04 pm
Written by: ThePostGame Staff

The Carolina Panthers beat the Redskins in Washington on Sunday, which should translate into a win for Mitt Romney on Election Day, if history is any indication.

How do we figure? It's the remarkably accurate Redskins Rule that forecasts the result of presidential elections.

Here's what the Redskins Rule means: If the Redskins win their last home game before the presidential election, then the incumbent party retains the White House. If the Redskins lose, then the incumbent party is voted out.

The Redskins Rule has been correct 17 of 18 times.
The Panthers, who entered Sunday with a five-game losing streak, won 21-13 at FedEx Field thanks in part to four sacks of Redskins quarterback Robert Griffin III.

The rule traces all the way back to 1940, the first presidential election year in which the Redskins were playing in Washington. But it wasn't discovered until 2000 when Steve Hirdt of the Elias Sports Bureau was doing research in advance of the Monday Night Football game between the Redskins and Titans in Washington a week before the election.

The only exception has been 2004 when the Redskins lost to the Packers. According to the rule, that meant incumbent president George W. Bush should've lost the election to John Kerry. But after Bush won, Hirdt fine-tuned the language of the rule to account for this blip.

Even without the revision, a 94.4 percent success rate is difficult to ignore. Of course, this correlation is more happenstance than science but a surefire conversation starter.
 
No chance for Romney,media inajua ila ni politics tuu na business maana wasiposema race ipo tight mtaacha kuangalia news,Katika 10 battleground states Obama needs only 2 + OH(ambayo inaonekana atashinda na yupo mbele polls zote za OH),na hizo 9 zilizobaki anaongoza 7 out of 9,nina uhakika Obama will win Iowa,Wisconcin,Nevada (more than he need) na PA and MI sio battleground state ni solid Obama....Romney can take the rest Va,FL,NC,CO na sina uhakika kama anaweza kushinda zote maana yupo behind kwenye polls,both campaign wanajua ukweli maana wana internal pollister wao wanaowaambia ukweli...mkiona Obama kashinda OH mjue gameover na matokeo yaataanza east coast Maine,NY,Connecticut,massachussets etc ambako Obama ni 100% chance of winning like Romney ni 100% in southern states excluding Florida,na kwenye blog 538s ya NY times na intrade Obama is favorite almost 80% to 30% for romney
 
Unajua in the past kuna candidates (pia running mates) lost kwenye their home states...; ila kwa kweli Obama hali yake itakuwa ngumu mpaka last minute kwani key states ambazo hadi dakika ya mwisho bado haijulikani zipo upande gani zimekaa vibaya sana yani VA, OH, WI na FL, hizi zinabeba jumla ya 70 electoral votes, na the two candidates hadi sasa nadhani wamepishana by like 10-15 electoral votes iwapo mtu ukiamua kutumia figures ambazo zipo more conservative; Obama should be just above 200 right now huku Romney akiwa around 190; Hivi kwanini FL imegeuka this time around?

Sababu kubwa mbili - kwanza bado FL ni sehemu ya wazee wengi na watu wengi ambao wanaenda kukaa kula wakati wa baridi up north. Wengi wa hawa wanapiga kura FL japo wanatoka maeneo ya Midwest na East Coast. Hawa wazee (pensioners mostly) wengi ni conservatives. Lakini pia Wacuba wa Miami hawana nguvu waliyokuwa nayo miaka mingi nyuma na kwa kiasi kikubwa ushawishi wao kwenye siasa za Marekani umepungua hasa baada ya Raul Castro kushika madaraka Cuba na kuanzisha mageuzi mbalimbali. Lakini bado lipo kundi ambalo linataka vikwazo vizidi kule na hawajafurahishwa sana na Obama.
 
....Mimi nadhani Obama atachukua OH, PA, na hata WI, Romney bado hawezi kujihakikishia VA, bado tight!! sehemu yenye watu wengi wa suburbs ndio itambeba Romney..
 
Uchambuzi humu ni wa kuhisia zaidi. Chungulieni na kule kwenye Intrade Real Time Quotes/Intrade Market Prices for General Election. Leo Obama yuko kwenye 70.3 vs. Romney 30.1. Hawajawahi kukosea hawa tangu waanze enzi za JFK vs Nixon

Believe me there are exceptions to the rule. Ni kweli Obama being an incumbent - a popular one for that matter - ana nafasi kubwa sana ya kushinda. Lakini factors nyingi ambazo zimetokea hapa katikati zimefanya ushindi wake kutokuwa kirahisi. Nadhani the so called "conventional wisdom" haitaapply hapa na watu watajaribu kuelezea kwanini Obama amekataliwa.

Kinachotisha ni kuwa maelezo mengi yatakuja na suala la "race"...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom