Wananchi wa Rombo ni watanzania.Huu ubaguzi wa kipuuzi mnaouonyesha hapa unaonyesha ni jinsi gani tuna watu wenye ufinyu wa mawazo
Rombo ni halmashauri inayojiongoza kwa ufanisi.Ni wapenda maendeleo ndiyo maana ni wapenda mabadiliko tofauti na wengine walioko mjini hawajui maana ya mabadiliko ni nini
Mwananchi wa Rombo siku zote yuko proud na anajiskia fahari kufanya kazi kwa bidii
Wanapenda haki zao na hawapendi kunyanyaswa.Ingawa siungi mkono kupandisha bendera lakini ninawapongeza kwa kuwa na msimamo thabiti katika kutetea haki zao na mabadiliko
Mramba alijinasibu amejenga barabara lakini kutokana na dharau zake na kutowathamini walimpiga chini.Ingekua ni majimbo mengine wangeweza kumtangaza mbunge wa kudumu
Rombo hatuna urafiki wa kudumu,tuna maslahi ya kudumu katika maendeleo
Nitoe wito kwa wananchi wote wa Rombo na hasa vijana,tuendelee kupambana na tusapoti maendeleo ya jimbo letu

Wewe usifananishe mbege na gongo wala pombe zenu huko.Jk akipewa offer ya kuchagua pombe ya kuwakilisha nchi atakimbilia mbege.Mbege inanyweka sehemu Kibuku haingii.
Sasa wa kuchapa bakora nani?waliogomea sensa au wanaotaka chukua jukumu la kujiletea mendeleo?Siasa mbaya na mipango ya hila ya CCM inawalazimisha walale njaa kama walalavyo wavivu,tena wavivu wanalishwa kwa vijiko.Warombo wanaweza nunu sukari popote na kuifikisha kwao,CCM wanaizuia,kama wanazuia isiende kenya si wangakaa mpakani?Uzembe za kufikiri wa waliokaa dar kwa uhalali wa ndiooo za dom ni mauaji nchini.
CCM imefikia mwisho wa kufikiri kilichobaki ni kuharibu tuu fikra.
Tatizo huelewi maana ya kupandisha bendera ya nchi nyengine , huo ni uhaini
Hao jamaa kama hawataki kufuata sheria za nchi na wahame waende kwa hao mabwana zao Wakikuyu na Wajaluo
wasilete fujo . Otherwise nyembe zitafanya kazi na mikuki
usiwe unaaandika kwa kukurupuka wewe kibaraka wa ccm!! Unajua taabu ya sukari kule rombo wewe.
Unajua kilo moja ya sukari sasa hivi kule ni shilingi ngapi. Jaribu kufuatilia mambo ndio uandike *****.
Yaani wewe kwasababu ni mwana ccm hutaki kusikia mwananchi akilalamika matatizo yake.
Jaribu kutumia kichwa angalau.
Kwa kupandisha hiyo bendera serikali yenu sasa itatambua the seriousness of the situation.
Sishabikii kupandishwa bendera ya kenya. Ila nafurahia kuwa hii serikali ya ccm itaona kule kule kuna tatizo.
Tafuta sehemu nyingine ya kuwatetea magamba. Lakini sio katika matatizo yetu.
Sawa wewe unayejiita mzee asiye na hekima?
unawatangazia biashara hapa ??? Tizama unavyojikalanga, sukali ya nini kama si biashara ya gongo??? Na waende kwa mabwana zao wakikuyu na wajaluo wakawapikie gongo sio kupandisha bendera ya mabwana zao hapa......
unawatangazia biashara hapa ??? Tizama unavyojikalanga, sukali ya nini kama si biashara ya Gongo??? na waende kwa mabwana zao Wakikuyu na Wajaluo wakawapikie gongo sio kupandisha bendera ya mabwana zao hapa.
Utalia sana ila hujui usemalo.Gongo hawatumii sukari weye,kuna cheaper products molases.Hii ni uthibtisho kuwa CCM wameshindwa linda mipaka.Kwao kuzuia himo ni rahisi kuliko kuzuia mipaka.Kwa haraka ni kwamba wanabana wale watu kijinga.Kwani mpitisha magendo kumzuia Himo hakumzuii kitu kwani kuna njia kubwa zaidi za kuifikisha border.
Tatizo huelewi maana ya kupandisha bendera ya nchi nyengine , huo ni uhaini
Hao jamaa kama hawataki kufuata sheria za nchi na wahame waende kwa hao mabwana zao Wakikuyu na Wajaluo
wasilete fujo . Otherwise nyembe zitafanya kazi na mikuki
nawajitengeBaada ya kunyanyaswa na vizuizi vya polisi vilivyomo mji mdogo wa Himo, viliosababsha upungufu mkubwa wa sukari na bidhaa nyingine za chakula, kiasa cha Rombo jimbo linaloongozwa na CDM, na linalopakana na nchi ya Kenya, kujisiakia wageni nchini mwao Tanzania, wamechukizwa na kitendo cha serikali yao ya Tanzania kuwanyanyapaa na wameamua kupandisha bendera ya Kenya! Source ITV
Wananchi wa Rombo ni watanzania.Huu ubaguzi wa kipuuzi mnaouonyesha hapa unaonyesha ni jinsi gani tuna watu wenye ufinyu wa mawazo
Rombo ni halmashauri inayojiongoza kwa ufanisi.Ni wapenda maendeleo ndiyo maana ni wapenda mabadiliko tofauti na wengine walioko mjini hawajui maana ya mabadiliko ni nini
Mwananchi wa Rombo siku zote yuko proud na anajiskia fahari kufanya kazi kwa bidii
Wanapenda haki zao na hawapendi kunyanyaswa.Ingawa siungi mkono kupandisha bendera lakini ninawapongeza kwa kuwa na msimamo thabiti katika kutetea haki zao na mabadiliko
Mramba alijinasibu amejenga barabara lakini kutokana na dharau zake na kutowathamini walimpiga chini.Ingekua ni majimbo mengine wangeweza kumtangaza mbunge wa kudumu
Rombo hatuna urafiki wa kudumu,tuna maslahi ya kudumu katika maendeleo
Nitoe wito kwa wananchi wote wa Rombo na hasa vijana,tuendelee kupambana na tusapoti maendeleo ya jimbo letu
'watu wa rombo wawachwe wapumue!' hata wakiweka bendera zote, za kenya na uganda, wawachwe! ebo!