Kuna kijiji kinaitwa SAMANGA KATIKA TARAFA YA USSERI KATA YA KIRONGO JUU KUNA VIWANDA VYA GONGO WANATUMIA MOLASES NA UREA WATEJA NI WAKENYA NA WATU WA TARAFA YA MASHATI NI BIASHARA INAYOLIPA KUPITA MAELEZO KWA WAKAZ WACHAKARIKAJ WA ROMBO MAOFISA WA POLIS WILAYAN ROMBO WANAPATA FEDHA NYINGI KUTOKANA NA HII BIASHARA YA GONGO KWANI WAKIKAMATA MTAMBO WA GONGO WANA UHAKIKA WA KUPATA LAKI TANO NA KUENDELEAUtalia sana ila hujui usemalo.Gongo hawatumii sukari weye,kuna cheaper products molases.Hii ni uthibtisho kuwa CCM wameshindwa linda mipaka.Kwao kuzuia himo ni rahisi kuliko kuzuia mipaka.Kwa haraka ni kwamba wanabana wale watu kijinga.Kwani mpitisha magendo kumzuia Himo hakumzuii kitu kwani kuna njia kubwa zaidi za kuifikisha border.