Rombo: Mchungaji ashikiliwa kwa kumbaka muumini

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Siloam lililopo katika Kijiji cha Manda Chini wilayani Rombo, Amani Upendo kwa madai ya kumbaka mwanafunzi wakati akimfanyia maombi.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga amesema tukio hilo lilitokea Agosti 30, 2022 wakati binti huyo alipokwenda kwenye maombi, baada ya familia yake kuzunguka kwa muda mrefu kumtafutia tiba ya ugonjwa wa kuanguka uliokuwa ukimsumbua.

“Huyu mchungaji anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumbaka mwanafunzi, aliyekuwa na ugonjwa wa kuanguka, baada ya familia kujaribu kumtibu hospitalini pamoja na sehemu nyingine ikashindikana.

“Hivyo wakaamua kumpeleka kwenye maombi, kwa hiyo akiwa kwenye maombi ndipo mchungaji alipofanikiwa kumbaka," amesema Kanali Maiga.

Akisimulia tukio lilivyokuwa, Mwenyekiti wa Kijiji Manda Chini, Ernest Mrosso amesema siku hiyo wakati tukio linatokea binti huyo alikuwa ametumwa kusaga mahindi aliporudi nyumbani alijiandaa kwenda kwenye kanisa la mchungaji huyo kwa ajili ya kwenda kuombewa.

"Alipofika nyumbani aliacha ule unga akawa amekwenda kwenye maombi na alikuwa na wenzake ikafika mahali mchungaji akawaambia wale aliokuwa nao waondoke yeye ataendelea kumwombea binti huyo.

"Wakati akimwombea huyu mtoto alidondoka chini ndipo mchungaji alipomchukua na kwenda kumfanyia unyama huo aliofanya, hatimaye mtoto alipokuja kuzinduka ndio akakuta tayari amefanyiwa unyama huo ndipo alipochukuliwa na kupelekwa hospitali," amesema Mrosso.

Mwenyekiti huyo amelaani kitendo hicho huku akisema ni unyama ambao haufai kabisa kwa kiongozi wa kiimani kufanya tukio la namna hiyo na kusema ni kitendo ambacho kimeichukiza jamii.

Chanzo: Mwananchi
 
Askofu Mstaafu Mdegela alisema wazi kabisa wapo viongozi wa dini ambao ni wahuni kama wahuni wengine wa kitaa, tofauti yao ni mazingira ya kufanyia uhuni wao tu
 
Wale wasiotaka kuelezwa chochote kuhusu Manabii wanaowauziaga mafuta ya upako kiasi wako radhi kuachika hata ktk ndoa zao wapite hapa kimya kimya bila ya kugonga LIKE [emoji2]
 
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Siloam lililopo katika Kijiji cha Manda Chini wilayani Rombo, Amani Upendo kwa madai ya kumbaka mwanafunzi wakati akimfanyia maombi.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga amesema tukio hilo lilitokea Agosti 30, 2022 wakati binti huyo alipokwenda kwenye maombi, baada ya familia yake kuzunguka kwa muda mrefu kumtafutia tiba ya ugonjwa wa kuanguka uliokuwa ukimsumbua.

“Huyu mchungaji anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumbaka mwanafunzi, aliyekuwa na ugonjwa wa kuanguka, baada ya familia kujaribu kumtibu hospitalini pamoja na sehemu nyingine ikashindikana.

“Hivyo wakaamua kumpeleka kwenye maombi, kwa hiyo akiwa kwenye maombi ndipo mchungaji alipofanikiwa kumbaka," amesema Kanali Maiga.

Akisimulia tukio lilivyokuwa, Mwenyekiti wa Kijiji Manda Chini, Ernest Mrosso amesema siku hiyo wakati tukio linatokea binti huyo alikuwa ametumwa kusaga mahindi aliporudi nyumbani alijiandaa kwenda kwenye kanisa la mchungaji huyo kwa ajili ya kwenda kuombewa.

"Alipofika nyumbani aliacha ule unga akawa amekwenda kwenye maombi na alikuwa na wenzake ikafika mahali mchungaji akawaambia wale aliokuwa nao waondoke yeye ataendelea kumwombea binti huyo.

"Wakati akimwombea huyu mtoto alidondoka chini ndipo mchungaji alipomchukua na kwenda kumfanyia unyama huo aliofanya, hatimaye mtoto alipokuja kuzinduka ndio akakuta tayari amefanyiwa unyama huo ndipo alipochukuliwa na kupelekwa hospitali," amesema Mrosso.

Mwenyekiti huyo amelaani kitendo hicho huku akisema ni unyama ambao haufai kabisa kwa kiongozi wa kiimani kufanya tukio la namna hiyo na kusema ni kitendo ambacho kimeichukiza jamii.

Chanzo: Mwananchi
Huyu mchungaji anahukumu ya serikali na kwa Mungu juu, na ndio maana amekamatwa, Mungu amemtumia kama mfano kwa wanaolitumia jina lake kujinufaisha 🤔
 
Watoto wakike sasa wakimbilie wapi? Shuleni walimu wanabaka, makanisani ndio hivyo, uraiani ndio hata usiseme!
 
Takata kabisaaa... sisi warombo tuliamua kubaki njia kuu. Watarudi wenyewe parokiani. Kuna ndugu zangu wamefunguaga kanisa miaka na miaka ni walokole tena sijui ndo wamekua wachungaji wa kusomea kbs ila ni wachafu na wazinzi wakubwaaa.

Wakija mbele ya halaiki utasema ni malaika. Anyways, huwa hawaenjoy saana wakija kijijini... maana kila mtu anazungumzia Misa na siyo kwa nabii
 
Back
Top Bottom